Kampuni Ya Infinix Kuzindua Toleo Bomba Kabisa la Simu ya Infinix HOT 12 Kesho....Hii Itafunika Simu Zote, Zawadi Kibao za Papo kwa Papo Zitatolewa
HomeHabari

Kampuni Ya Infinix Kuzindua Toleo Bomba Kabisa la Simu ya Infinix HOT 12 Kesho....Hii Itafunika Simu Zote, Zawadi Kibao za Papo kwa Papo Zitatolewa

2022 umekuwa Mwaka mzuri kwa kampuni ya simu Infinix, ndani ya kipindi kifupi Infinix imefanikiwa kuzindua Infinix Smart 6 Series na Infin...

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 10, 2024
Waziri Kombo aagana na Balozi wa Marekani
Tanzania mwenyeji mkutano 63 wa baraza la Kimataifa la viwanja vya ndege Afrika 

2022 umekuwa Mwaka mzuri kwa kampuni ya simu Infinix, ndani ya kipindi kifupi Infinix imefanikiwa kuzindua Infinix Smart 6 Series na Infinix HOT 12 series ikiwa imetangulia HOT 12i na kufuatiwa na toleo la kwanza la series ya HOT Infinix HOT 12 kuwa na processor yenye speed kubwa Zaidi.

Bila kupoteza muda Infinix imezindua mkubwa wao Infinix HOT 12 kupitia @infinixmobiletz.  
 

Kupitia mtandao wa kijamii @infinixmobiletz.  Kampuni ya simu Infinix ilizindua Infinix HOT 12 ikiwa na sifa hizi;  
• Chipset aina ya Mediatek Helio G85

•  Kitunza kumbukumbu/Memory 128GB Rom na Ram ya GB4 na Ram ya niongeza GB3.
•  Battery ya mAh5000 na Wat 18 ya usb type c.
•  Display ya inch 6.82” 90Hz Refresh rate.

Kwa mujibu wa taarifa za ndani Infinix wakishirikiana na Tigo watazindua tena Infinix HOT 12 hapo kesho. Hili limekuja baada ya wateja kubaki gizani kuhusu swala la bei na upatikanaji wa bidhaa hiyo wateja kutofahamu wapi wanaweza kununua.

Pia simu hii inatarajiwa kuwa na mwaonekano/design ya kipekee kabisa huku ikiwa imeongezwa ulinzi kwa kuwa na mifumo ya kisasa zaidi ya usalama unaofahamika kama side finger print na mfumo wa uendeshaji wa Android 11.

Je nini chengine tutegemee kuona kutoka kwenye simu hii, tafadhali usikose kuwafatilia @infinixmobiletz. Infinix HOT 12 #FASTANDFUN.





Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Kampuni Ya Infinix Kuzindua Toleo Bomba Kabisa la Simu ya Infinix HOT 12 Kesho....Hii Itafunika Simu Zote, Zawadi Kibao za Papo kwa Papo Zitatolewa
Kampuni Ya Infinix Kuzindua Toleo Bomba Kabisa la Simu ya Infinix HOT 12 Kesho....Hii Itafunika Simu Zote, Zawadi Kibao za Papo kwa Papo Zitatolewa
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj_Frbm_xvU6tk1n-B-mfZV7YQIdfSqhfJv2qMgIT6MGCSdhVyoum4CLjYdxj_5HQYGLWdfWJn4UXEcASk5w-O1eXU1Rav40gJYf4-zUN-nQklg_73fe21a7x7zjakaMVqReefz5k69OXVGJZkVrcHNHYveiEoAV-llodgzXlxyelY3RHny5bWPF2NvPQ/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj_Frbm_xvU6tk1n-B-mfZV7YQIdfSqhfJv2qMgIT6MGCSdhVyoum4CLjYdxj_5HQYGLWdfWJn4UXEcASk5w-O1eXU1Rav40gJYf4-zUN-nQklg_73fe21a7x7zjakaMVqReefz5k69OXVGJZkVrcHNHYveiEoAV-llodgzXlxyelY3RHny5bWPF2NvPQ/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/05/kampuni-ya-infinix-kuzindua-toleo-bomba.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/05/kampuni-ya-infinix-kuzindua-toleo-bomba.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy