Wanadodoma Mmetuheshimisha,tutarudi Tena- Dkt. Abbasi
HomeHabari

Wanadodoma Mmetuheshimisha,tutarudi Tena- Dkt. Abbasi

 Na Shamimu Nyaki – WHUSM, Dodoma Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt Hassan Abba...

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 28, 2024
Msimamizi Uchaguzi Kasulu ametoa maelezo Uchaguzi kuzingatia 4R za Rais Samia
Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 27, 2024


 Na Shamimu Nyaki – WHUSM, Dodoma
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt Hassan Abbasi amewashukuru wananchi wa Dodoma na watanzania wote kwa namna ambavyo wamefanikisha Tamasha la Serengeti Music Festival Dodoma lililofanyika Februari 06, 2021 Uwanja wa Jamhuri jijini hapo.

Dkt Abbasi ametoa Shukrani hizo kwa njia ya Video Februari 12, 2021 jijini Dar es Salaam ambapo amesema kuwa wakati wananchi wanatimiza wito wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli wa kufanya kazi, lakini Wizara yake inayo sekta ya kuhakikisha wananchi baada ya kufanya kazi wanapata burudani.

“Nawapongeza na kuwashukuru wadau wote waliofanikisha Tamasha la Serengeti Music Festival, tumefanya kazi kubwa na kuionesha Afrika na Dunia kwa ujumla kuwa Tanzania ya kipato cha kati ambayo ni ya kazi zaidi lakini pia burudani ndio sehemu yake”, alisema Dkt.Abbasi.

Akiendelea kuzungumza katika salamu hizo, Dkt Abbasi amewashukuru wanadodoma kwa jinsi walivyokuwa na ari ya kupata burudani licha ya kuloa na mvua iliyokuwa inanyesha siku hiyo,hali iliyolazimu wasanii kuendelea kutoa burudani kwa hadhira hiyo.

“Kila nikiangalia picha za siku ile kama Kiongozi wa Sekta hii na msimamizi wa Tamasha nasema Dodoma hatuwezi kuwaacha tutarejea tena”, alisisitiza Dkt.Abbasi.

Aidha, Dkt Abbasi amewashukuru wasanii, wadhamini,  viongozi wa Serikali, wabunge wakiongozwa na Naibu Spika, Mhe. Tulia Akson wafanyakazi wa Wizara yake, washereheshaji, madjs, serikali ya  wanafunzi, wanafunzi pamoja na watanzania wote kwa ujumla.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Wanadodoma Mmetuheshimisha,tutarudi Tena- Dkt. Abbasi
Wanadodoma Mmetuheshimisha,tutarudi Tena- Dkt. Abbasi
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEihn2SXLqyhLyU76VH7l1-1S8jWdPdmng7t6IyuXycyUi8-_IyjY29dpphkqPN7_N22Rlb_zqhyQzMXMcGUNPdkfK28DFrTBWEGEoZTF5NMkkH44rZeCtMA3TdBTW3KU8XKlRJNSBrWBdLK/s16000/1.png
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEihn2SXLqyhLyU76VH7l1-1S8jWdPdmng7t6IyuXycyUi8-_IyjY29dpphkqPN7_N22Rlb_zqhyQzMXMcGUNPdkfK28DFrTBWEGEoZTF5NMkkH44rZeCtMA3TdBTW3KU8XKlRJNSBrWBdLK/s72-c/1.png
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/wanadodoma-mmetuheshimishatutarudi-tena.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/wanadodoma-mmetuheshimishatutarudi-tena.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy