ISRAEL MWENDA AMTAJA ALIYEMWAMBIA APIGE PIGO HURU LILILOWAMALIZA WAMALAWI
HomeMichezo

ISRAEL MWENDA AMTAJA ALIYEMWAMBIA APIGE PIGO HURU LILILOWAMALIZA WAMALAWI

NYOTA wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Israel Mwenda amesema kuwa aliambiwa apige pigo huru na Mohamed Hussein ambaye wanacheza ...


NYOTA wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Israel Mwenda amesema kuwa aliambiwa apige pigo huru na Mohamed Hussein ambaye wanacheza naye.

Jana, Juni 13 kwenye Uwanja wa Mkapa, Stars iliibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Malawi ambapo watupiaji walikuwa ni John Bocco ambaye ni nahodha pamoja na Mwenda ambaye alipachika bao la pili kwa pigo huru akiwa nje ya 18. 

Mwenda amesema:" Mohamed Hussein aliniambia nipige ile Free Kick( pigo huru) ndio maana nilipiga. Huwa nafanya mazoezi sana ya free kick ndio maana huwa nafunga mabao ya namna hiyo.

“Namshukuru Mungu na najiskia faraja kwa kucheza na kuiwakilisha nchi yangu, pia kuweza kufunga katika mchezo jambo hili litakaa katika kumbukumbu za maisha yangu yote.

Mchezo huo ulikuwa ni wa kirafiki ambao upo kwenye kalenda ya Fifa ulihudhuriwa na mashabiki wengi ambao walijitokeza kuipa sapoti Stars.


Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: ISRAEL MWENDA AMTAJA ALIYEMWAMBIA APIGE PIGO HURU LILILOWAMALIZA WAMALAWI
ISRAEL MWENDA AMTAJA ALIYEMWAMBIA APIGE PIGO HURU LILILOWAMALIZA WAMALAWI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiaWDjEqLA7CfL7OWIsM9TyTMIMxDy8QfLPc8TMt2_35Hbi4vzLyvle1Hxw_H2K7kArT-0xK4XaOrWPTQWPyLBA44I436yKe8vcwzH1q449J5sds6Xuffdj3kx6m6vhHg0S_veyHRk2j6cd/w534-h640/sportscampaign_tz-200212943_2132160360254047_3817628175119336342_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiaWDjEqLA7CfL7OWIsM9TyTMIMxDy8QfLPc8TMt2_35Hbi4vzLyvle1Hxw_H2K7kArT-0xK4XaOrWPTQWPyLBA44I436yKe8vcwzH1q449J5sds6Xuffdj3kx6m6vhHg0S_veyHRk2j6cd/s72-w534-c-h640/sportscampaign_tz-200212943_2132160360254047_3817628175119336342_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/israel-mwenda-amtaja-aliyemwambia-apige.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/israel-mwenda-amtaja-aliyemwambia-apige.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy