Kinana Awataka Wabunge Na Madiwani Kutopitisha Sheria Zinazominya Haki Na Kuwabana Wananchi
HomeHabari

Kinana Awataka Wabunge Na Madiwani Kutopitisha Sheria Zinazominya Haki Na Kuwabana Wananchi

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amewataka  madiwani na wabunge kukataa  kupitisha  miswa...


Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amewataka  madiwani na wabunge kukataa  kupitisha  miswada ya Sheria  yenye kukandamiza haki na kuminya fursa ya wananchi wanyonge kujiendeleza kiuchumi.

Pia, amesema Sasa ni wakati muafaka  kulitazama vyema  kundi la wajasiriamali wadogo wakiwemo mamalishe na bodaboda ili wawekewe mazingira mazuri ya kunufaika na juhudi zao.

Kinana ameyasema hayo leo mjini Korogwe, wakati akizungumza na wana CCM katika ukumbi wa Lembeni, akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama na kujitambulisha kwa wanachama.

"Madiwani nyinyi ndio mnaosimamia sheria za Halmashauri, mkiona sheria hazina uhusiano na wananchi kataeni. Mkiletewa sheria pelekeni kwa wananchi waulizeni, rahisisheni maisha ya watu muwasidie wakue.

"Wabunge wa Bungee la Jamhuri ya Muungano...sheria ikija bungeni waambieni (serikali) kwa sasa hatuipitishi mpaka tukashauriane  na wananchi," alisema.





Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Kinana Awataka Wabunge Na Madiwani Kutopitisha Sheria Zinazominya Haki Na Kuwabana Wananchi
Kinana Awataka Wabunge Na Madiwani Kutopitisha Sheria Zinazominya Haki Na Kuwabana Wananchi
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjGM1Covbp0fHcIkkcF0uhopSo03Fg75aEklbA8oerdUGlhChIV_GKvtWWUHF8rJ444UuVl5516Z446CsJXlwZSrtT7BRHUMsx39iDFG6EUCdKzgeXHXYtgt9Iy1Eba5WrWSCGbpDiI_3kbW7bvGHyK6p2cts4hE0RE_uBYH-_hJ3hmG7osmos1cHkrLg/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjGM1Covbp0fHcIkkcF0uhopSo03Fg75aEklbA8oerdUGlhChIV_GKvtWWUHF8rJ444UuVl5516Z446CsJXlwZSrtT7BRHUMsx39iDFG6EUCdKzgeXHXYtgt9Iy1Eba5WrWSCGbpDiI_3kbW7bvGHyK6p2cts4hE0RE_uBYH-_hJ3hmG7osmos1cHkrLg/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/04/kinana-awataka-wabunge-na-madiwani.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/04/kinana-awataka-wabunge-na-madiwani.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy