MAYELE JEMBE JIPYA LINALOTAJWA KUTUA YANGA LAMTAJA YACOUBA
HomeMichezo

MAYELE JEMBE JIPYA LINALOTAJWA KUTUA YANGA LAMTAJA YACOUBA

  M SHAMBULIAJI  wa DR Congo,  Fiston Mayele,  amesema kuwa  ana uhakika  wa kupata nafasi ya kuanza  katika kikosi cha Yanga katika  msim...

PUMZIKA KWA AMANI, KILA KONA MAGUFULI
MECHI YA STARS V KENYA YAFUTWA, MECHI ZA NDANI KUSIMAMA NDANI YA WIKI MBILI
KOCHA YANGA AANZA NA KUTATUA TATIZO LA UBUTU WA SARPONG

 MSHAMBULIAJI wa DR Congo, Fiston Mayele, amesema kuwa ana uhakika wa kupata nafasi ya kuanza katika kikosi cha Yanga katika msimu ujao wa mashindano yote itakayoshiriki klabu hiyo.


Mayele ambaye alikuwa ni 
mshambuliaji wa AS Vita, anatajwa kutua Yanga na tayari mwenyewe amethibitisha kutua hapa nchini hivi karibuni.

 

Akizungumza na Championi Jumatano, Mayele alisema amekifuatilia kwa karibu kikosi cha Yanga na kisha kusema kuwa anaiona nafasi yake ya kucheza msimu ujao huku akikisifia kiwango cha mshambuliaji wa timu hiyo, Yacouba Songne.

 

“Yanga nimekuwa nikiifuatilia tangu nifahamu kuwa wananihitaji, wana kikosi kizuri ila nimeona kuwa katika eneo la ushambuliaji bado kuna tatizo hivyo naiona kabisa nafasi yangu ya kucheza nikiwa kama mshambuliaji pale.

 

“Nimemuona mshambuliaji Yacouba Songne katika michezo yao ya mwisho ambayo nimeitizama, ni mchezaji mzuri lakini pia Mukoko Tonombe na Tuisila Kisinda ni wachezaji wazuri, naamini ni msaada mzuri kwa timu,” alisema mshambuliaji huyo.

 

Fiston Mayele ndiye alikuwa mshambuliaji tegemeo wa Klabu ya AS Vita ambapo msimu huu katika michezo ya ligi kuu, amefanikiwa kuifungia timu yake mabao 13 huku akiwa mfungaji bora namba mbili wa ligi hiyo.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MAYELE JEMBE JIPYA LINALOTAJWA KUTUA YANGA LAMTAJA YACOUBA
MAYELE JEMBE JIPYA LINALOTAJWA KUTUA YANGA LAMTAJA YACOUBA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgb84F834Rw6GJRUzsbSndPeHSiWCURcgOh7GnARm-AiK4FP6TAF5xZRPJw8oEjmuNZUMc-GP4t1sEwq_yiqu99kAJ-TwncAzXbtZn091u-bO6gtx7MABdao4HeTGfuIzFGhR6N9FpvQsOO/w640-h618/Yacouba.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgb84F834Rw6GJRUzsbSndPeHSiWCURcgOh7GnARm-AiK4FP6TAF5xZRPJw8oEjmuNZUMc-GP4t1sEwq_yiqu99kAJ-TwncAzXbtZn091u-bO6gtx7MABdao4HeTGfuIzFGhR6N9FpvQsOO/s72-w640-c-h618/Yacouba.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/mayele-jembe-jipya-linalotajwa-kutua.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/mayele-jembe-jipya-linalotajwa-kutua.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy