Waziri Ummy Aitaka Msd Kumaliza Changamoto Za Upatikanaji Wa Dawa Katika Vituo Nchini
HomeHabari

Waziri Ummy Aitaka Msd Kumaliza Changamoto Za Upatikanaji Wa Dawa Katika Vituo Nchini

Na WAF DAR ES SALAAM Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ameiagiza Menejimenti ya MSD kutatua changamoto za upatikanaji wa dawa katika vitu...

Serikali Yatambua Mchango Wa Mafundi Sanifu Katika Ukuaji Uchumi
Serikali Yaipongeza Taasisi Ya Maendeleo Ya Aga Khan Kwa Kuchangia Maendeleo Nchini
Tanzania Yashiriki Mkutano Wa Miliki Ubunifu Duniani


Na WAF DAR ES SALAAM
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ameiagiza Menejimenti ya MSD kutatua changamoto za upatikanaji wa dawa katika vituo vya kutolea huduma za Afya nchini.

Waziri Ummy ametoa agizo hilo  wakati alipotembelea bohari ya dawa (MSD) kuongea na menejimenti kuhusu changamoto za upatikanaji wa dawa alizozipata kutoka kwa wananchi.

Waziri ummy amesema Lazima changamoto hii itatuliwe haraka iwekanavyo huku akisisitiza uwepo wa dawa muhimu ambazo mwananchi anaandikiwa na daktari.

“Tutahakikisha upatikanaji wa dawa muhimu zote Katika vituo vya kutolea huduma za afya. Rais Samia Suluhu Hassan ametuwezesha kupata fedha za kununua dawa na hili nitalisimamia kikamilifu kuhakikisha zinanunuliwa na kusambazwa kwenye vituo kwa wakati”. Amesema Waziri Ummy.

Aidha, Waziri Ummy ameendelea kuwasisitiza Watanzania kujiunga na mfuko wa taifa wa Bima ya Afya ili waweze kupata huduma za matibabu ikiwamo dawa bila kikwazo cha fedha.

Kwa upande mwingine, Waziri Ummy amempongeza mkurugenzi wa MSD na timu yake kwa kufanya vizuri katika kusimamia uanzishaji wa viwanda vya ndani vya dawa na kuwataka kuendelea kubuni zaidi aina ya viwanda vitakavyozalisha bidhaa muhimu za afya ili kutatua changamoto za dawa na vifaa tiba nchini.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Waziri Ummy Aitaka Msd Kumaliza Changamoto Za Upatikanaji Wa Dawa Katika Vituo Nchini
Waziri Ummy Aitaka Msd Kumaliza Changamoto Za Upatikanaji Wa Dawa Katika Vituo Nchini
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjsWgQPi_zohZLIl8Lu4rJF_9auTjw4W4s9S58tvOQHAmzuLD2X1DJjOFPiErSauo3HaEz8Ll8DsBDIov4uiptrmp_hOwevSmoLwNa0KoY1F4Ksc_hy8FRf4kVmXEAOpmGNgxf0z4ArrmnollVXjZHWF21504MZvHHriWFmiiajj3QihG49d8AI29OfbQ=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjsWgQPi_zohZLIl8Lu4rJF_9auTjw4W4s9S58tvOQHAmzuLD2X1DJjOFPiErSauo3HaEz8Ll8DsBDIov4uiptrmp_hOwevSmoLwNa0KoY1F4Ksc_hy8FRf4kVmXEAOpmGNgxf0z4ArrmnollVXjZHWF21504MZvHHriWFmiiajj3QihG49d8AI29OfbQ=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/01/waziri-ummy-aitaka-msd-kumaliza.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/01/waziri-ummy-aitaka-msd-kumaliza.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy