PICHA: Sherehe za miaka 58 ya Mapinduzi Zanzibar zafana
HomeHabari

PICHA: Sherehe za miaka 58 ya Mapinduzi Zanzibar zafana

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi, leo amewaongoza Wazanzibar katika kilele cha maadhimisho ya mia...

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo March 23
PICHA: Mwili wa Hayati Magufuli Ulivyopokelewa Kishujaa Jijini Dodoma
RC Kunenge Awashukuru Wakazi wa Dar es salaam kwa kujitokeza kwa wingi kutoa heshima zao za mwisho Kwa Hayati Dr Magufuli

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi, leo amewaongoza Wazanzibar katika kilele cha maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Sherehe hizo zilizofanyika katika uwanja wa Amaan, pia zimehudhuriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.

Wengine waliohudhuria sherehe hizo ni pamoja na Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, Rais mstaafu wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein, Rais mstaafu wa Zanzibar Aman Abeid Karume na mabalozi mbalimbali wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini.

Kilele cha maadhimisho hayo ya miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar kimepambwa na burudani mbalimbali ikiwa ni pamoja na gwaride maalum lililoandaliwa na vikosi vya KMKM pamoja na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).

Burudani nyingine zilizopamba sherehe hizo ni ngoma na mashairi.Kauli mbiu ya sherehe hizo ni Uchumi wa Buluu kwa Maendeleo Endelevu.

Mapinduzi ya Zanzibar yalifanyika Januari 12 mwaka 1964.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: PICHA: Sherehe za miaka 58 ya Mapinduzi Zanzibar zafana
PICHA: Sherehe za miaka 58 ya Mapinduzi Zanzibar zafana
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgQpyDjMlRMQeHM61wHmBx0mmUdeIVdZCIEK-EZ2yW1bQQ3uXoixy7wGU-Inn-X7OAQyoYGkMtSKTEcHIHLz1ItucGrMX3KFVSwmefpl1pCTmyP389csWPksVE5awOORHqyjcMjhR9jUHSm4HvYiur6Y5VW9kXJTYNExZKJL5KDzO--IkQI7tnmdwFZIA
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgQpyDjMlRMQeHM61wHmBx0mmUdeIVdZCIEK-EZ2yW1bQQ3uXoixy7wGU-Inn-X7OAQyoYGkMtSKTEcHIHLz1ItucGrMX3KFVSwmefpl1pCTmyP389csWPksVE5awOORHqyjcMjhR9jUHSm4HvYiur6Y5VW9kXJTYNExZKJL5KDzO--IkQI7tnmdwFZIA=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/01/picha-sherehe-za-miaka-58-ya-mapinduzi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/01/picha-sherehe-za-miaka-58-ya-mapinduzi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy