Polisi Amuua Mwenzake kwa Risasi Wakiwa Lindoni
HomeHabari

Polisi Amuua Mwenzake kwa Risasi Wakiwa Lindoni

Polisi mwenye cheo cha Konstebo, Onesmo Joseph, amekufa baada ya kupigwa risasi na askari mwenzake, aliyetajwa kwa jina la Joseph, walipo...

Trump Kujitosa Tena Urais Wa Marekani 2024
Marekani kutoa tamko kuhusu Saudi Arabia kuhusiana na mauaji ya muandishi habari Jamal Khashoggi.
Waziri wa Kilimo Profesa Adolf Mkenda Atoa Tathmini Zoezi la Kukabiliana na Nzige


Polisi mwenye cheo cha Konstebo, Onesmo Joseph, amekufa baada ya kupigwa risasi na askari mwenzake, aliyetajwa kwa jina la Joseph, walipokuwa wanalinda Benki ya CRDB Tawi la Ruangwa.

Habari za kutoka wilayani humo zilizothibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, Kamishna Msaidizi (ACP) Mtatiro Kitinkwi, zimeeleza kuwa mauaji hayo yalifanyika juzi saa 6:30 mchana.

Kitinkwi  amesema siku ya tukio, askari hao wakiwa lindoni, kulitokea mtafaruku baina yao ndipo Konstebo Joseph akampiga mwenzake risasi sehemu ya nyonga ya mguu wa kulia na kumsababishia maumivu makali.

Alisema chanzo cha ugomvi kilichosababisha askari hao hadi wapigane risasi bado hakijafahamika mara moja lakini baadhi ya watu wanadai walikuwa wanagombea mwanamke, huku wengine, akiwamo Kamanda Kitinkwi, wakidai unatokana na pikipiki.

“Mpaka sasa chanzo cha uhakika kuhusu ugomvi wao bado hakijafahamika licha ya kuwapo taarifa kwamba unatokana na mtuhumiwa kuchelewesha kurejesha pikipiki ya marehemu aliyokuwa ameazima,” alisema Kitinkwi.

Kamanda Kitinkwi alisema Onesmo alifariki dunia akiwa njiani kupelekwa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam kwa ajili ya kuendelea na matibabu.

Aidha, Kitinkwi amesema Konstebo Joseph tayari amefukuzwa kazi na sasa anaandaliwa utaratibu wa kufikishwa mahakamani kujibu shitaka la mauaji linalomkabili dhidi ya mwenzake akiwa raia.




Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Polisi Amuua Mwenzake kwa Risasi Wakiwa Lindoni
Polisi Amuua Mwenzake kwa Risasi Wakiwa Lindoni
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEiluMxciAW5xEWH8bmhq3TK4-CsgaQhr7P3mx8J_H2irrZV0jKfqsos_S5vPaUJbHY-p-3oExwY6SBXSIPT30_Fu0bFds5Dpd073_1vGkKkqT_CegCOclxGsRwlmfm4tSnrwPk2quXTtISbbgaY6sDGQmAXN8hVrzcVZwGN3awZIWERjHjHoO2CxkuOJw=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEiluMxciAW5xEWH8bmhq3TK4-CsgaQhr7P3mx8J_H2irrZV0jKfqsos_S5vPaUJbHY-p-3oExwY6SBXSIPT30_Fu0bFds5Dpd073_1vGkKkqT_CegCOclxGsRwlmfm4tSnrwPk2quXTtISbbgaY6sDGQmAXN8hVrzcVZwGN3awZIWERjHjHoO2CxkuOJw=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/12/polisi-amuua-mwenzake-kwa-risasi-wakiwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/12/polisi-amuua-mwenzake-kwa-risasi-wakiwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy