Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili NHC,TANESCO,ARDHI & SOLICITOR
HomeHabari

Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili NHC,TANESCO,ARDHI & SOLICITOR

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara ya Afya,   Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Wiza...

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo September 18
Akamatwa Kwa Kosa la Kumdhalilisha na Kumchezea Sehemu za Siri Mtoto Mdogo wa Kike wa Miaka Mitatu
Nafasi 80 za Kazi THPS, Nafasi, Nafasi 10 za Kazi Benki ya ABSA...Pia Zipo za CRDN, NBC na nyingine Nyingi!


Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara ya Afya,   Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Wizara ya Ardhi, Nyumba na   Maendeleo ya Makazi, Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Ofisi ya Wakili Mkuu wa   Serikali, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Wakala wa Usalama na Afya  Mahali pa Kazi (OSHA) na Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga, anapenda kuwataarifu  Waombaji Kazi wote walioomba kazi katika taasisi tajwa hapo juu kuwa usaili unatarajiwa  kuendeshwa kuanzia tarehe 04 – 06 Desemba, 2021 na hatimaye kuwapangia vituo vya  kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
 

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
i. Usaili utafanyika kuanzia tarehe 04 – 06 Desemba, 2021 kama ilivyooneshwa  kwenye tangazo hili; muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa  kwa kila Kada;

ii. Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa  Barakoa (Mask);
iii. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;

==> Kuona Majina ya Walioitwa kwenye Usaili, BOFYA HAPA



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili NHC,TANESCO,ARDHI & SOLICITOR
Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili NHC,TANESCO,ARDHI & SOLICITOR
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEglHy6_DVx0wGdCJ6Cj6PoWe1Pvab6BsK_utOUWpPsmJCrr9k12C_nyjjxkP3dJDxQwR6LZNFVMwcfN0gaCyhY5aVveTf5QYUv-k08Uks0bxpPERSgb4rSvLPi90mI0wVS9eB-l9trUyqvXsp8QOoHLevkfnv-sT5yql5v9S-l7DFxC0OY2TrCpwImjLA=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEglHy6_DVx0wGdCJ6Cj6PoWe1Pvab6BsK_utOUWpPsmJCrr9k12C_nyjjxkP3dJDxQwR6LZNFVMwcfN0gaCyhY5aVveTf5QYUv-k08Uks0bxpPERSgb4rSvLPi90mI0wVS9eB-l9trUyqvXsp8QOoHLevkfnv-sT5yql5v9S-l7DFxC0OY2TrCpwImjLA=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/11/tangazo-la-kuitwa-kwenye-usaili_26.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/11/tangazo-la-kuitwa-kwenye-usaili_26.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy