Rufaa ya Lengai Ole Sabaya na Wenzake Kutajwa Disemba 13
HomeHabari

Rufaa ya Lengai Ole Sabaya na Wenzake Kutajwa Disemba 13

Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Butamo Philip anatarajiwa kuanza kusikiliza rufaa ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya...

Simba SC Wamtangaza Kocha wao Mpya
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Novemba 7
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi Heslb Yafungua Dirisha La Rufaa Kwa Siku Tano Kuanzia Leo, Nov. 6, 2021


Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Butamo Philip anatarajiwa kuanza kusikiliza rufaa ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili.

Akizungumza na waandishi wa habari  Novemba 16, 2021, Wakili Edmund Ngemela anayemwakilisha mleta rufaa wa pili, Sylvester Nyegu amesema rufaa hiyo imepangwa kutajwa Desemba 13 mwaka huu mbele ya Jaji Philip.

Amesema rufaa hiyo namba 129, 2021 imetokana na shauri la jinai namba 105 la mwaka huu, ambapo mshitakiwa mwingine katika shauri hilo alikuwa ni Daniel Mbura.

Sabaya na wenzake wawili walihukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kila mmoja, Oktoba 15 mwaka huu baada ya kukutwa na hatia katika makosa matatu likiwamo unyang'anyi wa kutumia silaha.

Wakati rufaa hiyo ikisubiriwa kuanza kusikilizwa, Sabaya na wenzake sita wanakabiliwa na kesi nyingine ya uhujumu uchumi inayoendelea kusikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Rufaa ya Lengai Ole Sabaya na Wenzake Kutajwa Disemba 13
Rufaa ya Lengai Ole Sabaya na Wenzake Kutajwa Disemba 13
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEh3M5pzg-dAMtWRMFaYGKKCSp-1s9FQByepZvFRGqXzosZ0U3D0OOkBhlDODc7_N8mGMq__bFoC7QueS9oZ5bg6ZSjPRWQtMRlMGHHSpO6EatzMWW8MMmv8CR-uhofnEEGVzaqyf7yfgUvX8sNwM-j6Uldz8624XlJ6Q0aSgpkC1k0fIct2PLOmJeNjlQ=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEh3M5pzg-dAMtWRMFaYGKKCSp-1s9FQByepZvFRGqXzosZ0U3D0OOkBhlDODc7_N8mGMq__bFoC7QueS9oZ5bg6ZSjPRWQtMRlMGHHSpO6EatzMWW8MMmv8CR-uhofnEEGVzaqyf7yfgUvX8sNwM-j6Uldz8624XlJ6Q0aSgpkC1k0fIct2PLOmJeNjlQ=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/11/rufaa-ya-lengai-ole-sabaya-na-wenzake.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/11/rufaa-ya-lengai-ole-sabaya-na-wenzake.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy