Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi Heslb Yafungua Dirisha La Rufaa Kwa Siku Tano Kuanzia Leo, Nov. 6, 2021
HomeHabari

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi Heslb Yafungua Dirisha La Rufaa Kwa Siku Tano Kuanzia Leo, Nov. 6, 2021

Na Mwandishi Wetu,HESLB, Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo (Jumamosi, Novemba 6, 2021) imefungua dirisha la rufaa ...

CCM kumpendekeza Rais Samia kuwa Mwenyekiti wake
Marais Wastaafu, Viongozi Waandamizi Wa Serikali Na Mabalozi Wamlilia Magufuli
PICHA: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Akitoa Heshima Za Mwisho Kwa Hayati Dr Magufuli

Na Mwandishi Wetu,HESLB,
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo (Jumamosi, Novemba 6, 2021) imefungua dirisha la rufaa ili kuwawezesha waombaji ambao hawajapangiwa mikopo au wanahitaji kuongezewa viwango vya mikopo kwa mwaka wa masomo 2021/2022 kuwasilisha maombi ya rufaa zao.

==>>Kujua Jinsi ya Kukata Rufaa Kwa Usahihi, BOFYA HAPA.

“Dirisha hili litakua wazi kwa siku tano, kuanzia leo, Novemba 6 hadi 10, 2021 na ni fursa kwa wanafunzi wote, wa mwaka wa kwanza na wanaoendelea, kuwasilisha maombi yao ya kuongezewa viwango vya mkopo au kupangiwa kwa wale ambao hawajapangiwa hadi sasa,” amesema Dkt. Veronica Nyahende, Mkurugenzi wa Uchambuzi na Upangaji Mikopo wa HESLB.

Kuhusu utaratibu wa kuwasilisha maombi ya rufaa, Dkt. Nyahende amesema maombi yote ya rufaa yanapaswa kuwasilishwa kwa njia ya mtandao kama yalivyowasilishwa maombi ya msingi.

“Kupitia dirisha hili, tunawasihi waombaji mikopo kusoma maelekezo kwa makini na kuyazingatia … ikiwemo kuweka nyaraka zinazothibitisha uhitaji wao ambazo awali hawakuwa wameziweka,” amesisitiza Dkt. Nyahende.

==>>Kujua Jinsi ya Kukata Rufaa Kwa Usahihi, BOFYA HAPA.

 Wakati huohuo, Dkt. Nyahende amefafanua kuhusu wanafunzi wanaoendelea na masomo na ambao walikuwa wameomba mkopo kwa mwaka 2021/2022 na kusema kuwa maombi yao yamechambuliwa na wale wenye sifa tayari wameshapangiwa mkopo.

“Hawa tunawaita ‘first time continuing applicants’, na tumeshawapangia na kuweka taarifa zao katika SIPA na kwa kuwa ni wazoefu, wakiingia wataona … maafisa mikopo wa vyuo pia wana taarifa zao,” amesema Dkt. Nyahende.

Kuhusu malipo ya fedha kwa wanafunzi waliopangiwa mikopo, Dkt. Nyahende amesema HESLB imeshatuma vyuoni fedha za wanafunzi wote wa mwaka wa kwanza ambao wamepangiwa mikopo na kuwakumbusha wanafunzi hao kufika katika ofisi za mikopo vyuoni ili kukamilisha taratibu za kupokea fedha hizo.
 

==>>Kujua Jinsi ya Kukata Rufaa Kwa Usahihi, BOFYA HAPA.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi Heslb Yafungua Dirisha La Rufaa Kwa Siku Tano Kuanzia Leo, Nov. 6, 2021
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi Heslb Yafungua Dirisha La Rufaa Kwa Siku Tano Kuanzia Leo, Nov. 6, 2021
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEg7Th5Bbc86YnRAA3fDQvRhiPK0J1FKaPwE8kl5_LKW7QfF9XVdrH2EPZjSLra6ah6Jj1Vbwo5Z7jQ3CTDNWtNUYktBj9bklpcP_3hDH9z2zCpn1ZNbcLHH-aZ_D9nyFifXOWvX4sMbHGGUZm766qgWgXC8SHHsNiWcTh-VSHVaRk26vh5arHtcOLYzDQ=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEg7Th5Bbc86YnRAA3fDQvRhiPK0J1FKaPwE8kl5_LKW7QfF9XVdrH2EPZjSLra6ah6Jj1Vbwo5Z7jQ3CTDNWtNUYktBj9bklpcP_3hDH9z2zCpn1ZNbcLHH-aZ_D9nyFifXOWvX4sMbHGGUZm766qgWgXC8SHHsNiWcTh-VSHVaRk26vh5arHtcOLYzDQ=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/11/bodi-ya-mikopo-ya-wanafunzi-heslb.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/11/bodi-ya-mikopo-ya-wanafunzi-heslb.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy