Rais Samia Azindua Mashine ya MRI Bugando
HomeHabari

Rais Samia Azindua Mashine ya MRI Bugando

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amezindua mashine ya kupima magonjwa mbalimbali (MRI) katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando...

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 27, 2024
RC Mwassa ahaidi kuendelea kutoa ushirikiano kwa wawekezaji Kagera
Dc Kilombero Kyobya ataka wazazi kutoa ushirikiano mahakamani kesi za ukatili Kwa watoto


Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amezindua mashine ya kupima magonjwa mbalimbali (MRI) katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando (BMC) leo Alhamisi Oktoba 18, 2021.

Rais Samia amezindua mashine hiyo baada ya kuwasili leo  jijini Mwanza kuhudhuria Jubilee ya Miaka 50 tangu kuanzishwa kwa Hospitali ya Bugando iliyoanzishwa mwaka 1971.

Baada ya kufika hospitalini hapo Rais Samia amepewa taarifa ya miradi mbalimbali inayoendelea hospitalini hapo ukiwemo mradi wa jengo la saratani ambalo Serikali ilitoa zaidi ya Sh1 bilioni.

Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mkuu wa BMC, Dk Fabian Massaga, jengo hilo la huduma za saratani litagharimu zaidi ya Sh5.2 bilioni ambalo litakuwa na chumba maalumu cha kufanya utafiti kwa wagonjwa wa saratani kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa na kwingineko.

Dk Massaga pia ametoa taarifa kwa Rais Samia juu ya mradi wa jengo la mama na mtoto ambapo mpaka ujenzi wake ukamilike litagharimu zaidi ya Sh6.5 bilioni ambapo kwa sasa hospitali hiyo imetenga Sh500 milioni ya mapato ya ndani kuanza ujenzi huo.

Amesema pia hospitali hiyo inatekeleza ujenzi wa jengo la kuhudumia wagonjwa wenye matatizo ya macho, jengo kwa ajili ya wagonjwa wa nnje na wanafanya utafiti kuhusiana na magonjwa yasiyoambukiza.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Rais Samia Azindua Mashine ya MRI Bugando
Rais Samia Azindua Mashine ya MRI Bugando
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgE8BQgkhR2Cekz9ZYFEnfmEBnr0GkuBFis71OzGAFsedT9kbN4QJel4LUrRELxe9W5s7wPRwCisG1O_kPaTICUcn7A0_bkZuxkYnASNek9SXCwcEGKnkkw7glBhtt6o2dyaUlTMN2QMRhuVsSQmH_A7AlUMwuUAB_xGZJxLv_w4rQst0Yg47O0mJXT4g=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgE8BQgkhR2Cekz9ZYFEnfmEBnr0GkuBFis71OzGAFsedT9kbN4QJel4LUrRELxe9W5s7wPRwCisG1O_kPaTICUcn7A0_bkZuxkYnASNek9SXCwcEGKnkkw7glBhtt6o2dyaUlTMN2QMRhuVsSQmH_A7AlUMwuUAB_xGZJxLv_w4rQst0Yg47O0mJXT4g=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/11/rais-samia-azindua-mashine-ya-mri.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/11/rais-samia-azindua-mashine-ya-mri.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy