Dc Kilombero Kyobya ataka wazazi kutoa ushirikiano mahakamani kesi za ukatili Kwa watoto
HomeHabariTop Stories

Dc Kilombero Kyobya ataka wazazi kutoa ushirikiano mahakamani kesi za ukatili Kwa watoto

Mkuu wa Wilaya Kilombero Mkoani Morogoro Mhe. Wakili Dunstan Kyobya amewataka wazazi kutoa ushirikiano kwenye vyombo vya sheria ikiwemo maha...

Mkuu wa Wilaya Kilombero Mkoani Morogoro Mhe. Wakili Dunstan Kyobya amewataka wazazi kutoa ushirikiano kwenye vyombo vya sheria ikiwemo mahakama ili haki iweze kutendeka kwa watu wanaofanya vitendo vya ukatili kwa watoto.

Dc Kyobya amesema hayo wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya Sheria ambayo yamemeanza kuadhimishwa january 25 mwaka huu hadi 1/ 2/ 2025 .

Dc kyobya amesema changamoto kubwa baadhi ya wazazi wamekuwa wakifumbia macho vitendo hivyo ambayo vinaharibu vizazi, wengine wakipata ujauzito katika umri mdogo na kukatishwa ndoto zao za kielemu.

Amesema wiki ya sheria itumike kutatua changamoto mbalimbali za kisheria ambazo zinawakabili wananchi ikiwemo Migogoro ya ardhi ,mirathi, ukatili, na Migogoro ya kifamilia.

Kwa upande wake Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Kilombero Mhe. Regina Futakamba amewataka wananchi kujitokeza Kwa wingi Ili kupata elimu ya masuala ya kisheria.

Amesema elimu hii itasaidia kwenye masuala ya ufunguaji wa mashauri mahakamani pamoja na njia mbalimbali za kuzipata haki kwenye vyombo vya sheria.

Nao wakazi wa Ifakara wamesema ufikiwaji wa elimu hiyo utasaidia wananchi kutambua mambo ya sheria hasa Vijijini kwenye wananchi wengi ambao hawana uelewa wa masuala hayo.

Maadhimisho hayo yameenda sambamba na upandaji wa miti katika maeneo mbalimbali ya Mji wa ifakara.

 

 

The post Dc Kilombero Kyobya ataka wazazi kutoa ushirikiano mahakamani kesi za ukatili Kwa watoto first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/i9wlLc7
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Dc Kilombero Kyobya ataka wazazi kutoa ushirikiano mahakamani kesi za ukatili Kwa watoto
Dc Kilombero Kyobya ataka wazazi kutoa ushirikiano mahakamani kesi za ukatili Kwa watoto
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2025/01/IMG-20250126-WA0018-950x633.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2025/01/dc-kilombero-kyobya-ataka-wazazi-kutoa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2025/01/dc-kilombero-kyobya-ataka-wazazi-kutoa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy