Wanaorusha, kukanyaga noti waonywa
HomeHabari

Wanaorusha, kukanyaga noti waonywa

Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imetangaza kuwachukulia hatua za kisheria watu wote watakaohusika na vitendo vya matumizi mabaya ya noti kwa ...

Waziri Kalemani Aagiza Matengenezo Ya Mitambo Ya Umeme Nchi Nzima Yakamilike Ndani Ya Siku Tano
Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo March 3
Waziri Kalemani Aagiza Mtambo Wa Umeme Kidatu Kufanya Kazi Ndani Ya Siku 15


Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imetangaza kuwachukulia hatua za kisheria watu wote watakaohusika na vitendo vya matumizi mabaya ya noti kwa njia yoyote ile ikiwemo kuwatuza watu kwa kuwarushia na kukanyagwa.
 
BOT imetoa tangazo hilo kutokana na kile kilichoelezwa kuwa, kumekuwa na  vitendo vingi vya matumizi mabaya ya noti katika shughuli mbalimbali za kijamii hasa sherehe za harusi.
 
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Benki Kuu ya Tanzania na kusainiwa na Gavana wa benki hiyo Profesa Florens Luoga, baadhi ya watu wamekuwa na tabia ya kutuza kwa kurusha noti zinazoanguka sakafuni na muda mwingine kukanyagwa, kitendo ambacho ni kinyume cha sheria.
 
Taarifa hiyo imeongeza kuwa, baadhi ya watu wamekuwa wakiziviringisha noti katika maumbo mbalimbali na kutumia kama mapambo, kuweka kwenye mwili wa mtu ulio loa jasho huku wakijua kufanya hivyo ni kuvunja sheria.
 
BOT imewataka Watanzania wote kufuata maelekezo ambayo yamekuwa yakitolewa kuhusu namna sahihi ya kutunza noti zinazokuwa mikononi mwao na kuacha kuzitumia kinyume na maadili pamoja na matakwa ya kisheria.


 


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Wanaorusha, kukanyaga noti waonywa
Wanaorusha, kukanyaga noti waonywa
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEh3tGbsDA-7gK-teh-Js8RZZarqV4CX0BQGH6gMOyUlBvLEDyhbDI1R-PI73EAZIabjo-_Xmxfzzc4_ZKjvCgvbwMDIZXmID2-Ka7WdjA_1pLFgaKTIh3pOW8R_eS7eCjOVCkY7C-mFjqAzho2CEdvaD-uTzvbzzTO0SaiI7jFUP38_TcRk7CiXbzbCPw=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEh3tGbsDA-7gK-teh-Js8RZZarqV4CX0BQGH6gMOyUlBvLEDyhbDI1R-PI73EAZIabjo-_Xmxfzzc4_ZKjvCgvbwMDIZXmID2-Ka7WdjA_1pLFgaKTIh3pOW8R_eS7eCjOVCkY7C-mFjqAzho2CEdvaD-uTzvbzzTO0SaiI7jFUP38_TcRk7CiXbzbCPw=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/wanaorusha-kukanyaga-noti-waonywa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/wanaorusha-kukanyaga-noti-waonywa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy