Wanafunzi 10 bora kitaifa matokeo darasa la saba 2021
HomeHabari

Wanafunzi 10 bora kitaifa matokeo darasa la saba 2021

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), limemtaja mwanafunzi aliyehitimu shule ya msingi St Anne Marie iliyopo mkoani Dar es Salaam, Eluleki ...


Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), limemtaja mwanafunzi aliyehitimu shule ya msingi St Anne Marie iliyopo mkoani Dar es Salaam, Eluleki Evaristo Haule kuwa ndiye aliyeibuka kinara katika matokeo ya mtihani ya Darasa la Saba 2021.

Akitangaza matokeo hayo leo Jumamosi Oktoba 30, 2021 Katibu Mtendaji wa Necta,  Dk Charles Msonde amesema watahiniwa bora kitaifa ni wale ambao wamepata alama nyingi zaidi kuliko wenzao kwenye masomo sita waliyotahiniwa.

Alimtaja aliyeshika nafasi ya pili kuwa ni Happy Joseph Deus kutoka shule ya msingi Twibhoki ya Mkoa wa Mara na nafasi ya tatu ikienda kwa John Chacha Charles kutoka Twibhoki.

Aliyeshika nafasi ya nne ni Joshua Mahende Jacob kutoka shule ya msingi Twibhoki iliyopo Mara pia, Eva Sebastian Chengula kutoka shule ya msingi Fountain of Joy ya Dar es Salaam ameshika nafasi ya tano, Joctan Samwel Matara kutoka Twibhoki ameshika nafasi ya sita.

Barnaba Jumanne Magoto kutoka shule ya msingi Twibhoki ipo Mara ameshika nafasi ya saba, Rahma Ombi Juma kutoka shule ya Mtuki Highland iliyopo Dar es Salaam ameshika nafasi ya nane na nafasi ya tisa ni Juliana John Shimbala kutoka St Joseph’s nafasi ya kumi ameishika Jackline Manfredy kutoka shule ya Masaka iliyopo Dar es Salaam.

 

 



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Wanafunzi 10 bora kitaifa matokeo darasa la saba 2021
Wanafunzi 10 bora kitaifa matokeo darasa la saba 2021
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgrk4ycGexNHmy7l-9ZWu1W6m-i1JXrOAZBa6_oqjRGJf4UY2XFWT1v-jcqhwepWQ6EVDGr9PgVjjTvd1pWxJ7eFMAnZ4Vskb0Hf-5nGLjbyfTyeJ1o358r1IoDzF1YNkM6uwVTrfxSUts7A3ozF_jieQOhCvO0DD7ESnqlY_3uWdcUSQZ2aGpjUscYug=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgrk4ycGexNHmy7l-9ZWu1W6m-i1JXrOAZBa6_oqjRGJf4UY2XFWT1v-jcqhwepWQ6EVDGr9PgVjjTvd1pWxJ7eFMAnZ4Vskb0Hf-5nGLjbyfTyeJ1o358r1IoDzF1YNkM6uwVTrfxSUts7A3ozF_jieQOhCvO0DD7ESnqlY_3uWdcUSQZ2aGpjUscYug=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/wanafunzi-10-bora-kitaifa-matokeo.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/wanafunzi-10-bora-kitaifa-matokeo.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy