MAJEMBE MANNE YA KAZI LEO KUTUMIKA NDANI YA YANGA KUIMALIZA MTIBWA SUGAR
HomeMichezo

MAJEMBE MANNE YA KAZI LEO KUTUMIKA NDANI YA YANGA KUIMALIZA MTIBWA SUGAR

 INGIZO jipya la Yanga, Fiston Abdoul Razack leo, Februari 20 linaweza kuanza kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar utakaoc...

VIDEO:SIKIA TAMBO ZA MTENDAJI MKUU WA SIMBA WAKATI WA KUMWAGA WINO DILI JIPYA
HAYA HAPA MATAIFA 13 VITANI LEO, MATOKEO YAO PIA
WAPYA KABISA LEO UWANJA WA MKAPA, SIMBA V YANGA

 INGIZO jipya la Yanga, Fiston Abdoul Razack leo, Februari 20 linaweza kuanza kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar utakaochezwa Uwanja wa Uhuru.

Mbali na Abdoul kuanza pia nyota Tonombe Mukoko naye huenda akaanza moja kwa moja kikosi cha kwanza baada ya mchezo uliopita dhidi ya Kagera Sugar kwenye sare ya kufungana mabao 3-3 kuanzia benchi.

Hivyo leo Kocha Mkuu, Cedric Kaze ataanza na viungo wake wote wawili ambao ni washkaji wakubwa kutoka Congo, Tuisila Kisinda na Mukoko.

Kuhusu Abdoul inaelezwa kuwa aliomba kukaa kando kwa kuwa alikuwa kwenye presha kubwa mara baada ya kushindwa kufanya vizuri kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Mbeya City pamoja na ule wa kirafiki dhidi ya African Lyon.

Kaze aliweka wazi kwamba sababu ya Tonombe kuanzia benchi kwenye mchezo wao dhidi ya Kagera ni kumpumzisha kwa kuwa wana mechi nyingi hivyo atamtumia kwenye mechi zake zijazo.

"Tonombe alikuwa benchi kwa kusudio maalumu hasa ukizingatia kwamba tuna mechi nyingi za kucheza hivyo ilikuwa ni lazima nipumzishe wachezaji," alisema.

Habari zinaeleza kuwa huenda leo Yacouba Songne ambaye anasumbuliwa na majeraha pamoja Saido Ntibanzokiza watacheza pia kwa kuwa wanahitaji ushindi.

"Ujue Ntibanzokiza alicheza mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi akiwa na majeraha ya nyonga hivyo anaweza kuanza pia mbele ya Mtibwa Sugar, hata Yacouba inawezekana maana kwa sasa timu inahitaji ushindi," ilieleza taarifa hiyo.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MAJEMBE MANNE YA KAZI LEO KUTUMIKA NDANI YA YANGA KUIMALIZA MTIBWA SUGAR
MAJEMBE MANNE YA KAZI LEO KUTUMIKA NDANI YA YANGA KUIMALIZA MTIBWA SUGAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgQKfyyaezRkqyw22Jzda8GyQk3jHfcSOs1Essqm9CO8j0xVBow526aZYwaTxG52riDoasExdTYH3PZHRauL3uyhj8ag5vuiEDYsU_MKGDDL2WEPH86xO38aqnd52mDHM-mS_abTNvKUhkk/w576-h640/Fiston+v+African.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgQKfyyaezRkqyw22Jzda8GyQk3jHfcSOs1Essqm9CO8j0xVBow526aZYwaTxG52riDoasExdTYH3PZHRauL3uyhj8ag5vuiEDYsU_MKGDDL2WEPH86xO38aqnd52mDHM-mS_abTNvKUhkk/s72-w576-c-h640/Fiston+v+African.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/majembe-manne-ya-kazi-leo-kutumika.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/majembe-manne-ya-kazi-leo-kutumika.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy