Taarifa MPYA Kwa Waliopata Nafasi za Kazi Jeshi la Polisi
HomeHabari

Taarifa MPYA Kwa Waliopata Nafasi za Kazi Jeshi la Polisi

Jeshi la Polisi linawatangazia vijana wote waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi Nchini kuwa wanatakiwa kuripoti Shule ya Polisi Mos...

Tahadhari kwa Wafanyabiashara wanaojihusisha na kununua na kuuza bidhaa nje ya Nchi.
Taarifa Ya Kurejea Kwa Huduma za LUKU Kupitia Mitandao Ya Simu
Walimu Waaswa Kufanya Kazi Kwa Bidii Na Nidhamu


Jeshi la Polisi linawatangazia vijana wote waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi Nchini kuwa wanatakiwa kuripoti Shule ya Polisi Moshi kuanzia tarehe 23/10/2021 hadi tarehe 29/10/2021. 

Kwa vijana waliofanyiwa usaili Baracks Dar es Salaam kwenye vikosi ambavyo vipo chini ya Makao Makuu ya Jeshi la Polisi watatakiwa kuripoti Makao Makuu ya Polisi Dodoma 24/10/2021 saa 2.00 asubuhi wakiwa na nauli zao kwa ajili ya safari ya kwenda Shule ya Polisi Moshi.

Kwa waliofanyiwa usaili Mikoani wanatakiwa kuripoti kwa Makamanda wa Polisi wa Mikoa waliofanyia usaili tarehe 22/10/2021 saa 2.00 asubuhi kwa ajili ya kupewa utaratibu wa safari ya kwenda Shule ya Polisi Moshi. 

Pamoja na maelekezo yaliyotolewa kwenye tangazo la tarehe 19/10/2021 kila mmoja atatakiwa kuja na Tsh 40,000 kwa ajili kupima afya. 

Kijana yeyote atakaye ripoti Shule ya Polisi Moshi baada ya tarehe 29/10/2021 hatopokelewa na atahesabika amejiondoa mwenyewe kwenye mafunzo.

👉Kuona majina ya waliochaguliwa kujiunga na jeshi la Polisi,BOFYA HAPA.

👉Kupata nafasi mbalimbali za kazi serikalini na makampuni binafsi,BOFYA HAPA

 




Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Taarifa MPYA Kwa Waliopata Nafasi za Kazi Jeshi la Polisi
Taarifa MPYA Kwa Waliopata Nafasi za Kazi Jeshi la Polisi
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgywcOF-bzhUzD6IclXJKIBYt8bsHbCqQo90okw7Q0nm2Ycoq_ePldVjW4a_f393t7wXFD5ZXlkxPEUmjcdQvohAUoi3Ww9Dxxgcz73Rryry2lAAkKx-178puUvGpK3FWOMGnoVpQkpoybur9UrCn11a2EcW44n1bAq3DYgwmyW8k8BbzYTiefSCECYBA=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgywcOF-bzhUzD6IclXJKIBYt8bsHbCqQo90okw7Q0nm2Ycoq_ePldVjW4a_f393t7wXFD5ZXlkxPEUmjcdQvohAUoi3Ww9Dxxgcz73Rryry2lAAkKx-178puUvGpK3FWOMGnoVpQkpoybur9UrCn11a2EcW44n1bAq3DYgwmyW8k8BbzYTiefSCECYBA=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/taarifa-mpya-kwa-waliopata-nafasi-za.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/taarifa-mpya-kwa-waliopata-nafasi-za.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy