TIRA kutumia maonesho ya kimataifa ya 48 ya sababa kuongeza elimu ya Bima kwa Watanzania
HomeHabariTop Stories

TIRA kutumia maonesho ya kimataifa ya 48 ya sababa kuongeza elimu ya Bima kwa Watanzania

Mamlaka ya usimamizi wa Bima nchini TIRA imesema inalenga kutumia maonesho ya kimataifa ya 48 ya sababa kuongeza elimu ya Bima kwa Tanzania ...

Mamlaka ya usimamizi wa Bima nchini TIRA imesema inalenga kutumia maonesho ya kimataifa ya 48 ya sababa kuongeza elimu ya Bima kwa Tanzania kutoka asilimia 25 ya sasa

Akizungumza wakati akifungua kijiji cha bima kinacholeta pamoja kampuni zote 40 za huduma ya bima nchini , Kaimu kamishna bima kutoka TIRA Zacharia Muyengi amesema mpango wa serikali ni kuhakisha asilimia 80 ya watanzania wanapata elimu ya bima ifikapo mwaka 2030

Akizungumza Muyengi amesema , serikali inalengo la kuhakikisha kila mtanzania anafikiwa na huduma za bima ili kumuwezesha kujikinga na majanga

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Muungano wa Makampuni ya bima amesema sabsab ni jukwaa muhimu la kufikia wadau wengi kuwapa elimu ya bima akisisitiza wafanyabiashara kuwa na bima ili kulinda biashara inapotekea majanga

Zaidi ya kampuni arobaini za utoaji wa huduma za bima zimepiga kambi katika viwanja vya maonesho ya kimataifa ya sabasaba ambapo huduma mbalimbali za bima ikiwemo elimu ya faida za faida za bima zitatolewa kwa pamoja.

The post TIRA kutumia maonesho ya kimataifa ya 48 ya sababa kuongeza elimu ya Bima kwa Watanzania first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/CyJUkIP
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: TIRA kutumia maonesho ya kimataifa ya 48 ya sababa kuongeza elimu ya Bima kwa Watanzania
TIRA kutumia maonesho ya kimataifa ya 48 ya sababa kuongeza elimu ya Bima kwa Watanzania
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/06/IMG-20240628-WA0037-950x713.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/06/tira-kutumia-maonesho-ya-kimataifa-ya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/06/tira-kutumia-maonesho-ya-kimataifa-ya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy