NYOTA RICE DAU LAKE NOMA,MANCHESTER UNITED WAAMBIWA WAMCHUKUE
HomeMichezo

NYOTA RICE DAU LAKE NOMA,MANCHESTER UNITED WAAMBIWA WAMCHUKUE

  MABOSI wa Manchester United wameambiwa kuwa itakuwa vema kwao ikiwa watapambana kupata saini ya kiungo anayekipiga ndani ya Klabu ya West...

SIMBA YAGANDAMIZIA MBINU ZA KAIZER CHIEFS WAKATI WAKILAZIMISHA SARE YA KUFUNGANA 2-2
WIKIENDI YA KUKATA NA SHOKA KATIKA LIGI MBALIMBALI BARANI ULAYA
GUARDIOLA: KLOPP AMENIFANYA NIWE BORA

 

MABOSI wa Manchester United wameambiwa kuwa itakuwa vema kwao ikiwa watapambana kupata saini ya kiungo anayekipiga ndani ya Klabu ya West Ham United,  Declan Rice.

Neno hilo limetoka kwa nyota wa zamani wa Arsenal wengi wanapenda kuwaita washika bunduki Nigel Winterburn ambaye amesema kuwa itakuwa sahihi ikiwa Manchester United watafanikiwa kupata saini ya nyota huyo.

Rice amekuwa akiwindwa na timu nyingi za Ulaya ikiwa ni pamoja na Manchester United, Manchester City pamoja na Chelsea ambazo zote zinashiriki Ligi Kuu England. 

Dau la kuipata saini ya kiungo huyo kutokana na ubora wake ndani ya uwanja linatajwa kuwa ni pauni milioni 90 jambo ambalo Nigel anaona kuwa itakuwa ni faida kwa United. 

"Pauni 90m ni fedha nyingi sana kwa ajili ya Declan Rice inashangaza ila huenda ni dau lake na atakuwa msaada kwa timu kama watampata,".



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: NYOTA RICE DAU LAKE NOMA,MANCHESTER UNITED WAAMBIWA WAMCHUKUE
NYOTA RICE DAU LAKE NOMA,MANCHESTER UNITED WAAMBIWA WAMCHUKUE
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjVMcGaGaZH9Vlj7Jvz9BhKi7cq8KTRDhi5LE8XyF2MbvEMxvhHetoBwXoeLLfajYApw1qZvJFVKOOo-hBCFjxkdwEwdJVjsum15NNPcEnwT6mRlkgFgkL76_0fR2drM6ktzxjbHYj47K1WFNtMER81raE6VIHke_nCNzFWvaRKtdX6lw0kN9M4PYE51w=w636-h640
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjVMcGaGaZH9Vlj7Jvz9BhKi7cq8KTRDhi5LE8XyF2MbvEMxvhHetoBwXoeLLfajYApw1qZvJFVKOOo-hBCFjxkdwEwdJVjsum15NNPcEnwT6mRlkgFgkL76_0fR2drM6ktzxjbHYj47K1WFNtMER81raE6VIHke_nCNzFWvaRKtdX6lw0kN9M4PYE51w=s72-w636-c-h640
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/nyota-rice-dau-lake-nomamanchester.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/nyota-rice-dau-lake-nomamanchester.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy