DUNIA HII JAMANI IMEKWISHA MWANUME HUYU ATUMIA DOLA 240,000 KUJIBADILISHA SURA ILI AWE KAMA MWANAMKE      CHEKI PICHA ZAKE HAPA
HomeKimataifaMatukio

DUNIA HII JAMANI IMEKWISHA MWANUME HUYU ATUMIA DOLA 240,000 KUJIBADILISHA SURA ILI AWE KAMA MWANAMKE CHEKI PICHA ZAKE HAPA

Muonekano wa Jordan baada ya kujiongezea urembo kufanana na Kim. Mwanaume aliyejitambulisha kwa jina la Jordan (23...

INASIKITISHA: WA 3 WALIOFUNGIWA NDANI MIAKA 10 NA MAMA YAO MMOJA AFARIKI DUNIA
Shuhudia picha zote za tamasha la Moshi Easter Bash 2015
MALI ZILIZOMZIMISHA GWAJIMA!


DUNIA HII JAMANI IMEKWISHA MWANUME HUYU ATUMIA DOLA 240,000 KUJIBADILISHA SURA ILI AWE KAMA MWANAMKE      CHEKI PICHA ZAKE HAPA

Muonekano wa Jordan baada ya kujiongezea urembo kufanana na Kim.

Mwanaume aliyejitambulisha kwa jina la Jordan (23) amefanya mambo ya ajabu akijitahidi kufanana na Kim kwa kujiongeza urembo bandia, hasa kufanya midomo yake kuwa mikubwa akitaka ifanane na ya Kim.

Kim Kardashian katika pozi.

Ametumia Pauni 150,000 au dola laki mbili na arobaini katika harakati zake za kutaka kufanana kama Kim
Pesa hizo zote amezitumia kwa kufanyiwa upasuaji na kuongezwa urembo bandia.

Cha kushangaza ni kwamba huyu ni mwanamume anayetaka kufanana kama mwanamke
Aliambia jarida la The Sun kwamba alianza kumuenzi Kim Kardashian mwenye umri wa miaka 33 baada ya kutazama makala ya kipindi kijulikanacho kama ''Keeping Up With The Kardashians.'' Kipindi kinachohusu Kim na Familia yake. 'Ninapenda kila kitu kumhusu Kim,' aliambia The Sun. 'yeye ndiye mwanamke mrembo zaidi duniani. Ngozi yake ni nyororo, nywele zake zinapendeza yaani kila kitu kumhusu kinanipendeza. ''


Jordan ni kijana mwenye umri wa miaka 23 anashindana kufanana na Kim.

Jordan amefanyiwa upasuaji kuongeza urembo bandia zaidi ya mara 50 katika juhudi zake za kutaka kufanana kama Kim, amerembeshwa midomo, ametolewa nywele kwa kutumia miale ya Laser , amewekwa Tatoo na hata kubadilisha kope zake na mengine mengi.

Lakini mabadiliko haya yote yamemgeuza sura sana Jordan na kumanya kuwa kichekesho kwa watu wengi.

''Mimi mwenyewe hucheka watu wanapojaribu kunitusi au kunikejeli, na kuniambia kwamba mimi ni kama tu plastiki, yaani kila kitu mwilini mwangu ni baandia. Lakini hio hainijalishi.'

Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: DUNIA HII JAMANI IMEKWISHA MWANUME HUYU ATUMIA DOLA 240,000 KUJIBADILISHA SURA ILI AWE KAMA MWANAMKE CHEKI PICHA ZAKE HAPA
DUNIA HII JAMANI IMEKWISHA MWANUME HUYU ATUMIA DOLA 240,000 KUJIBADILISHA SURA ILI AWE KAMA MWANAMKE CHEKI PICHA ZAKE HAPA
http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/625/amz/worldservice/live/assets/images/2014/12/19/141219131907_jordan_kim_512x288_bbc_nocredit.jpg?width=650
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2014/12/dunia-hii-jamani-imekwisha-mwanume-huyu.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2014/12/dunia-hii-jamani-imekwisha-mwanume-huyu.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy