Msako kwenye mtandao wa Instagram, Justin Bieber apoteza wafuasi zaidi ya milioni moja.
HomeKimataifaMatukio

Msako kwenye mtandao wa Instagram, Justin Bieber apoteza wafuasi zaidi ya milioni moja.

Justin Bieber anasema amepoteza wafuasi zaidi ya milioni moja . Mtandao wa kijamii wa Instagram umefuta mamilioni ya akaunti za watumia...


Justin Bieber anasema amepoteza wafuasi zaidi ya milioni moja.

Mtandao wa kijamii wa Instagram umefuta mamilioni ya akaunti za watumiaji wa mtandao huo katika msako wake wa kufuta akaunti bandia zilizokuwa zikituma ujumbe ovyo ovyo kwa watumiaji wengine wa mtandao huo.
Watu waliokuwa wanatumia mtandao huo na kuwa na wafuasi wengi, walilalamika sana kufuatia hatua hio na kuitaja kama "Instagram Rapture".
Kama Facebook, Instagram hufuta akaunti kadha ili kuzuia ujumbe unaotumwa na akanuti wa watu wasiojulikana au akaunti bandia kwa mtumiaji na pia kuzuia watumiaji wa mtandao huo kununua 'likes', ili kuonekana kuwa maarufu.
Mwanamuziki Akon anasemekana kupoteza asilimia 56 ya wafuasi wake katika msako huo wa akaunti bandia


Wanamuziki wengine wakiwemo, Justin Bieber alipoteza wafuasi milioni 3.5 na kampuni pia hazikusazwa kwani kampuni ya Wellington Campos, nayo ilipoteza wafuasi milioni 3.2.
Mtandao wa Instagram ulikuwa tayari umetoa onyo kwa watumiaji wake kwamba baadhi ya akaunti za watumiaji wake zitakuja kufutwa.
"tumekuwa tukiona akaunti bandia kwenye Instagram na ilibidi tuzifute maana zinatuma ujumbe kwa akaunti za watumiaji wa kweli wa mtandao huo, '' alisema mkuu wa kampuni hio,Kevin Systrom.
"kama sehemu ya jitihada zetu, tutafuta akaunti hizo na hazitawahi tena kuwa na wafuasi. Ina maana kwamba baadhi yenu, mtaona mabadiliko katika akaunti zenu,'' alisema Bwana Systrom.
Katikakujibu hatua hio ya Instagaram, watumiaji wengi walitoa matamshi makali hasa waliofutiwa akaunti zao.
Mwanamzuki Mase, aliyepoteza wafuasi wake milioni moja alifuta akaunti yakebaada ya kudaiwa kulipa ili apate wafuasi.

 
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Msako kwenye mtandao wa Instagram, Justin Bieber apoteza wafuasi zaidi ya milioni moja.
Msako kwenye mtandao wa Instagram, Justin Bieber apoteza wafuasi zaidi ya milioni moja.
http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/625/amz/worldservice/live/assets/images/2014/09/22/140922002317_sp_justin_bieber_624x351_getty.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2014/12/msako-kwenye-mtandao-wa-instagram.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2014/12/msako-kwenye-mtandao-wa-instagram.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy