Mwenyekiti wazee Chadema afikishwa Kortini kwa kumkashifu IGP
HomeHabari

Mwenyekiti wazee Chadema afikishwa Kortini kwa kumkashifu IGP

Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Chadema (Bazecha), Hashimu Juma Issa, (63) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabili...

Arsenal wanataka kumsajili kiungo wa kati baada ya mkataba wa Calafiori.
Man U, RB Leipzig na Bayern Munich kwenye mpambano kuinasa saini ya winga wa PSG
Wizara yanishati yakabidhi gari la kubebea nguzo za umeme Mbinga


Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Chadema (Bazecha), Hashimu Juma Issa, (63) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka mawili, likiwemo la kuchapisha taarifa za uongo na kuzisambaza kwenye mtandao wa YouTube.

Mshtakiwa huyo amefikishwa Mahakamani hapo Alhamisi Oktoba 7, 2021 na kusomewa mashitaka hayo na Wakili wa Serikali Yusuph Abood mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Rashid Chaungu.

Wakili Abood alidai mahakamani kuwa Oktoba Mosi katika eneo la Kinondoni B, mtaa wa Ufipa, mshtakiwa alisambaza taarifa kwa lengo la kumchafua na kumdhalilisha Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Simon Sirro.

Alidai kuwa mshtakiwa alichapisha kwenye kompyuta na kusambaza taarifa kuwa "Sirro ni gaidi namba moja nchini Tanzania na fisadi."

Ilidaiwa katika shitaka lingine kuwa Oktoba Mosi katika eneo la Kinondoni B, mtaa wa Ufipa, mshtakiwa alitoa maneno ya uchochezi  kuwa "Sirro ni gaidi namba moja nchini Tanzania na fisadi" kwa lengo la kutengeneza chuki kwa wananchi.

Mshitakiwa huyo alikana mashtaka hayo.Wakili  Abood amedai upelelezi wa shauri hilo haujakamilika na uko katika hatua za mwisho.

Issa aliachiwa kwa dhamana baada ya kutakiwa kuwa na waadahamini wawili watakaosaini bondi ya Sh3 milioni kila mmoja, barua ya utambulisho pamoja na kitambulisho cha taifa.

Kesi hiyo imeahirishwa hadi Oktoba 28, 2021 itakapotajwa tena.

 

Credit:M,wananchi



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Mwenyekiti wazee Chadema afikishwa Kortini kwa kumkashifu IGP
Mwenyekiti wazee Chadema afikishwa Kortini kwa kumkashifu IGP
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgJIC_69J6wvcITd0sdFnmstWmSL9yA0ahDR2bxZGmyMshbHGM0AC59Wapf9PzIqnmnx0oFsjuCSTPJ3uiRmTPaJRbg-F3yJ3QIK7gBWVnnoGUdRPpkRoNO5mIf8XhjYAY_4jnunkyvnwSbyGIdrjLYLpdmdOoTJ7tOzcG2eO3e6gT08HloiZJ5--I9Hw=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgJIC_69J6wvcITd0sdFnmstWmSL9yA0ahDR2bxZGmyMshbHGM0AC59Wapf9PzIqnmnx0oFsjuCSTPJ3uiRmTPaJRbg-F3yJ3QIK7gBWVnnoGUdRPpkRoNO5mIf8XhjYAY_4jnunkyvnwSbyGIdrjLYLpdmdOoTJ7tOzcG2eO3e6gT08HloiZJ5--I9Hw=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/mwenyekiti-wazee-chadema-afikishwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/mwenyekiti-wazee-chadema-afikishwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy