MBEYA CITY YAFUNGUKIA BAO LA KASEKE
HomeMichezo

MBEYA CITY YAFUNGUKIA BAO LA KASEKE

 MATHIAS Lule, Kocha Mkuu wa Mbeya City amesema kuwa hawezi kubadili maamuzi ya mwamuzi kuhusu bao walilofungwa jana na Yanga ambalo lilio...

KESHO NI VITA YA PASI NA MBINU
RASMI KIKOSI CHA MTIBWA SUGAR LEO DHIDI YA YANGA
RASMI KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA MTIBWA SUGAR

 MATHIAS Lule, Kocha Mkuu wa Mbeya City amesema kuwa hawezi kubadili maamuzi ya mwamuzi kuhusu bao walilofungwa jana na Yanga ambalo lilionekana kulalamikiwa na wachezaji wa Mbeya City.

Mbeya City  jana ilitoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1 na Yanga kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Sokoine, Mbeya ambao ulikuwa na ushindani mkubwa.


Bao la Yanga lilifungwa na Deus Kaseke dakika ya 84 ambapo ilionekana kwamba mpira huo ulikuwa umeokolewa na beki wa Mbeya City kabla ya kujaa nyavuni jambo ambalo liliwafanya wachezaji wa Mbeya City kumlalamikia mwamuzi huku mlinda mlango, Harn Mandanda akionyeshwa kadi ya njano.

Mchezo wa kwanza wa mzunguko wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Yanga ilisepa na pointi tatu kwa ushindi wa bao 1-0 ila jana iliweza kugawana pointi na Mbeya, jumla kwenye pointi sita, Yanga imesepa na nne huku Mbeya ikisepa na pointi moja.

Lule amesema kuwa kupata pointi mbele ya vinara wa ligi sio jambo dogo hivyo anawapongeza wachezaji wake kwa kupambana.

"Mwanzo tulikosea kwenye zile dakika za mwanzo hasa kwa wachezaji kushindwa kufuata maelekezo ila baadaye waliweza kurejea kwenye mchezo.


"Kuhusu bao ambalo tumefungwa siwezi kulizungumzia kwa kuwa mwamuzi akishaamua kuwa ni bao huwezi kubadili maamuzi yake kwetu sisi kwa kuwa tumepata pointi moja tunajipanga kwa ajili ya mechi zijazo,".



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MBEYA CITY YAFUNGUKIA BAO LA KASEKE
MBEYA CITY YAFUNGUKIA BAO LA KASEKE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg3pCYDAdsfOWOxaockaQULiUd__tfGY5vLGgkMZQ4EWpBic8thCEj34aeIWzhZKpq_F0SocFMwQfTszbQrBY2CMUPjwS5LMylFwepiFqOptWbx6bcjNgNDFpQFmRMHlCDGTjavoBFyYH5O/w640-h576/Fei+v+Mbeya+City.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg3pCYDAdsfOWOxaockaQULiUd__tfGY5vLGgkMZQ4EWpBic8thCEj34aeIWzhZKpq_F0SocFMwQfTszbQrBY2CMUPjwS5LMylFwepiFqOptWbx6bcjNgNDFpQFmRMHlCDGTjavoBFyYH5O/s72-w640-c-h576/Fei+v+Mbeya+City.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/mbeya-city-yafungukia-bao-la-kaseke.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/mbeya-city-yafungukia-bao-la-kaseke.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy