KOEMAN KUPIGWA CHINI BARCELONA
HomeMichezo

KOEMAN KUPIGWA CHINI BARCELONA

 IMEELEZWA kuwa maisha ya Kocha Mkuu wa Barcelona,  Ronald Koeman kwa sasa yanakaribia kufika ukingoni kwa kuwa ni suala la muda tu kwake ...

SIMULIZI YA MALKIA ALIYELETA MADA ILIYOZUA UTATA
BAO LA MAUYA LAMTESA GOMES, AJUTIA MUDA ALIOTUMIA KUWAFUATILIA
FAINALI MBILI KUCHEZWA WIKIENDI HII, COPA AMERICA NA EURO 2020

 IMEELEZWA kuwa maisha ya Kocha Mkuu wa Barcelona,  Ronald Koeman kwa sasa yanakaribia kufika ukingoni kwa kuwa ni suala la muda tu kwake kutimuliwa ndani ya kikosi hicho kinachoshiriki La Liga.


Mwendo wa Barcelona katika Ligi ya Mabingwa Ulaya ni wa vichapo tu kwa kuwa wamepoteza mechi zote mbili ambapo wanashika mkia kwenye kundi E wakiwa bila pointi na vinara ni Bayern Munich wenye pointi sita.


Kichapo cha mabao 3-0 dhidi ya Benfica iliyo nafasi ya pili kwenye kundi katika mchezo uliochezwa Septemba 29 huku mabao yakipachikwa na Darwin Nunez dakika ya 3 na 79 kwa penalti  na lile la tatu lilipachikwa na Rafa Silva dakika ya 69 huku nyota wa Barcelona Eric Garcia akionyeshwa kadi nyekundu dakika ya 87 kimetibua mambo ndani ya Barcelona. 


Mpaka sasa hata Koeman mwenyewe hajui hatma yake na anaamini kwamba atatimuliwa muda wowote kuanzia sasa na kesho ana mtihani mwingine mbele ya Atletico Madrid katika mchezo wa La Liga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Wanda Metropolitan.


Licha ya kuwa kwenye La Liga hajapoteza mchezo bado yupo nafasi ya sita na Barcelona ina pointi 12 huku vinara wakiwa ni Real Madrid wenye pointi 17.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KOEMAN KUPIGWA CHINI BARCELONA
KOEMAN KUPIGWA CHINI BARCELONA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh5eamjQYXTzqCGL8n5_ioI25Pw9FJ-_cchRYzgxc5wK9FElLU4XbGUBHBR7ZThp9mRyvJ3qWQHN2Wu-RF56Tn4AzOCLGY5z9SfTWyMv238MirQI6FF_7VINxwbimbQU3lzzyDZViIU04Jj/w640-h528/Screenshot_20211001-074929_Instagram.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh5eamjQYXTzqCGL8n5_ioI25Pw9FJ-_cchRYzgxc5wK9FElLU4XbGUBHBR7ZThp9mRyvJ3qWQHN2Wu-RF56Tn4AzOCLGY5z9SfTWyMv238MirQI6FF_7VINxwbimbQU3lzzyDZViIU04Jj/s72-w640-c-h528/Screenshot_20211001-074929_Instagram.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/koeman-kupigwa-chini-barcelona.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/koeman-kupigwa-chini-barcelona.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy