FEISAL Salum, nyota wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ambaye jana Septemba 7 alikuwa miongoni mwa mashujaa walioipeperusha bendera...
FEISAL Salum, nyota wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ambaye jana Septemba 7 alikuwa miongoni mwa mashujaa walioipeperusha bendera ya Tanzania kwa kupata ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Madagascar amesema kuwa yote hayo ni maelekezo ya mwalimu na wanamshukuru Mungu kwa kuwa wamepata ushindi.
Ni bao la ushindi lilitoka kwenye mguu wake dakika ya 52 akimalizia kazi murua kutoka kwenye miguu ya nahodha Mbwana Samatta.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS