Waziri Mwigulu akagua ujenzi wa kampasi ya TIA Mwanza, ahidi kutatua changamoto ya maji Nyang’omango
HomeHabariTop Stories

Waziri Mwigulu akagua ujenzi wa kampasi ya TIA Mwanza, ahidi kutatua changamoto ya maji Nyang’omango

Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba, ametembelea na kukagua ujenzi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA), Kampasi ya Mwanza, iliyopo wilaya...

Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba, ametembelea na kukagua ujenzi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA), Kampasi ya Mwanza, iliyopo wilaya ya Misungwi, kijiji cha Nyang’omango. Ujenzi wa kampasi hiyo ulianza Januari 22, 2022, na sasa uko asilimia 99 ukiwa na gharama ya zaidi ya shilingi bilioni saba.

Haya yalibainishwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa TIA, Prof. William Pallangyo, wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa mradi huo

Katika hotuba yake, Prof. Pallangyo ameeleza kuwa kampasi hiyo itasaidia kwa kiasi kikubwa kuongeza fursa za kielimu kwa vijana wa eneo hilo na nchi kwa ujumla. Ameongeza kuwa ujenzi umezingatia viwango vya kimataifa ili kutoa mazingira bora ya kujifunzia.

Mwenyekiti wa kijiji cha Nyang’omango Peter Deus ametumia fursa hiyo kueleza changamoto zinazowakabili wananchi, hususan tatizo la maji. Ambapo amesema ingawa wanafurahia uwepo wa miundombinu ya TIA kijijini hapo, wanahitaji msaada zaidi katika kuhakikisha upatikanaji wa maji safi na salama.

Dkt. Mwigulu, akijibu changamoto hiyo, alisema tayari serikali imetenga fedha na imetoa hundi kwa mkandarasi kuendelea na utekelezaji wa mradi wa maji. Alisisitiza kuwa serikali itaendelea kushirikiana na wananchi wa Misungwi kuhakikisha changamoto hiyo inatatuliwa haraka.

 

The post Waziri Mwigulu akagua ujenzi wa kampasi ya TIA Mwanza, ahidi kutatua changamoto ya maji Nyang’omango first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/IzYwOZD
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Waziri Mwigulu akagua ujenzi wa kampasi ya TIA Mwanza, ahidi kutatua changamoto ya maji Nyang’omango
Waziri Mwigulu akagua ujenzi wa kampasi ya TIA Mwanza, ahidi kutatua changamoto ya maji Nyang’omango
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/09/IMG-20240915-WA0025-950x633.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/09/waziri-mwigulu-akagua-ujenzi-wa-kampasi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/09/waziri-mwigulu-akagua-ujenzi-wa-kampasi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy