HomeHabariTop Stories

BREAKING: Rapper P Diddy akamatwa New York , nyumba zake zazingirwa, ni kisa kumpiga Ex wake?, mwanasheria aongea

Rapper maarufu Nchini Marekani ambaye pia ni Producer na Mfanyabiashara Sean ‘Diddy’ Combs ameripotiwa kukamatwa na Mamlaka Nchini humo Jiji...

Tusiwe Sehemu ya Matumizi ya Nguvu wakati wa Uchaguzi.
Habari kubwa Magazetini Kenya leo November 22, 2024
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 22, 2024

Rapper maarufu Nchini Marekani ambaye pia ni Producer na Mfanyabiashara Sean ‘Diddy’ Combs ameripotiwa kukamatwa na Mamlaka Nchini humo Jijini New York akikabiliwa na mashtaka kadhaa ambayo bado hajawekwa wazi.

Diddy amekamatwa katika eneo la Manhattan Nchini humo baada ya kuzingirwa kwa makazi yake ya Los Angeles na Miami ikiwa ni sehemu ya uchunguzi unaoendelea, mitandao ya AFP, The New York Times, TMZ na mingine Nchini Marekani imeripoti.

Diddy amekamatwa ikiwa imepita miezi kadhaa tangu EX wake ambaye ni Mwimbaji Cassandra Ventura (Cassie) alipofungua kesi akimtuhumu Diddy kwa ubakaji na unyanyasaji kipindi chote cha mahusiano yao yaliyoanza miaka 20 iliyopita na baadaye Jumba la kifahari la Diddy likazingirwa mwezi March mwaka huu na Maafisa wa usalama ambao ilidaiwa walipanga kumkamata Diddy lakini hata hivyo hawakufanya hivyo.

Mwanasheria wa Diddy, Marc Agnifilo amesema amesikitishwa na kukamatwa kwa Diddy na kusema Mteja wake huyo ni Mtu mwema asiye na hatia.

 

The post BREAKING: Rapper P Diddy akamatwa New York , nyumba zake zazingirwa, ni kisa kumpiga Ex wake?, mwanasheria aongea first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/RGWSdA2
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: BREAKING: Rapper P Diddy akamatwa New York , nyumba zake zazingirwa, ni kisa kumpiga Ex wake?, mwanasheria aongea
BREAKING: Rapper P Diddy akamatwa New York , nyumba zake zazingirwa, ni kisa kumpiga Ex wake?, mwanasheria aongea
https://i.ytimg.com/vi/oBa-rj0CeXA/hqdefault.jpg
https://i.ytimg.com/vi/oBa-rj0CeXA/default.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/09/breaking-rapper-p-diddy-akamatwa-new.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/09/breaking-rapper-p-diddy-akamatwa-new.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy