MESSI MAJANGA MATUPU PSG
HomeMichezo

MESSI MAJANGA MATUPU PSG

  MSHAMBULIAJI mpya kwa Klabu ya PSG, Lionel Messi anatazamiwa kuwa nje ya uwanja kwa takribani wiki mbili baada ya vipimo vya MRI kuonesh...

SAKATA LA MORRISON NA YANGA LINAANZA UPYA KABISA
BEKI SILVA AANDALIWA MKATABA
DILI LA MANULA KWENDA MAMELOD SUNDOWNS LABUMA KISA 4G

 MSHAMBULIAJI mpya kwa Klabu ya PSG, Lionel Messi anatazamiwa kuwa nje ya uwanja kwa takribani wiki mbili baada ya vipimo vya MRI kuonesha kuwa amepata mikwaruzo ndani ya goti lake la kushoto ambalo lilimfanya aanze kupata maumivu kwenye mchezo dhidi ya Lyon wikiendi iliyopita.

 

Kwenye mchezo huo, Kocha wa PSG, Mauricio Pochettino aliishuku afya ya nyota huyo na kuamua kumfanyia mabadiliko dakika ya 75 na nafasi yake ilichukuliwa na mlinzi wa kulia, Achraf Hakini kwenye mchezo ambao ulizua gumzo baada ya Messi kufanyiwamabadiliko.

 

Messi tayari ameukosa mchezo mmoja wa Ligi kuu ya Ufaransa dhidi ya Metz ulikamilika kwa PSG kupata ushindi wa mabao 2-1 na kufikisha alama 21 kwenye michezo yake 7 na kuwa na ushindi wa asilimia mia moja.

 

Maumivu ya goti yanayomkumba Messi na kutazamiwa kumuweka nje kwa wiki mbili, yatamfanya akose mchezo wa Ligi dhidi ya Montepelier na hata ule wa Manchester City kwenye Ligi ya mabingwa barani Ulaya utakaochezwa Septemba 28 mwaka huu.

 

Wakati Lionel Messi anaumia, kiungo Maeco Verratti na Mlinzi wa kati Sergio Ramos wameanza mazoezi ya kujiweka fiti zaidi ili ajitupe dimbani.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MESSI MAJANGA MATUPU PSG
MESSI MAJANGA MATUPU PSG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEghmV7CwJ_RLl4wPEKAAZ7xkDhgNf9cYVSEmZ3-wiCbGqNan7StgkHn95JmJ3-pJF7MSmHLN-GIQNqK3aammuo0s_JsWuHRNnsjJBEB6zhb5rqbqtJS3QGBnRjP109QZ8SBMXFD3j_hHtiU/w640-h360/Mesi+mnuno.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEghmV7CwJ_RLl4wPEKAAZ7xkDhgNf9cYVSEmZ3-wiCbGqNan7StgkHn95JmJ3-pJF7MSmHLN-GIQNqK3aammuo0s_JsWuHRNnsjJBEB6zhb5rqbqtJS3QGBnRjP109QZ8SBMXFD3j_hHtiU/s72-w640-c-h360/Mesi+mnuno.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/messi-majanga-matupu-psg.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/messi-majanga-matupu-psg.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy