IMEELEZWA kuwa kichapo cha mabao 4-0 ambacho Simba ilipata mbele ya Kaizer Chiefs kimebumisha dili la kipa namba moja Aishi Manula kuse...
IMEELEZWA kuwa kichapo cha mabao 4-0 ambacho Simba ilipata mbele ya Kaizer Chiefs kimebumisha dili la kipa namba moja Aishi Manula kusepa ndani ya timu hiyo.
Manula alikubali kuokota nyavuni mabao hayo wakati timu hiyo ilipokutana na Kaizer Chiefs nchini Afrika Kusini.
Habari zimeeleza kuwa timu ambayo ilikuwa inahitaji saini yake ambayo ni Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini iliamua kusitisha mpango huo.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS