Rapper wa Weusi, Joh Makini Ijumaa iliyopita (April 24) aliachia video ya wimbo wake mpya ‘Nusu Nusu’ iliyofanywa Afrika Kusini ilitambul...
Rapper wa Weusi, Joh Makini Ijumaa iliyopita (April 24) aliachia video ya wimbo wake mpya ‘Nusu Nusu’ iliyofanywa Afrika Kusini ilitambulishwa ‘exclusively’ kwenye kituo cha kimataifa MTV Base na mapokeo yake yamekuwa ni mazuri kutoka kwa mashabiki mbalimbali ambao wamesifia wimbo na video.
Download hapa
Angalia hapa
COMMENTS