TUCHEL ATAJA SABABU YA KUMPA DILI LUKAKU
HomeMichezo

TUCHEL ATAJA SABABU YA KUMPA DILI LUKAKU

  KOCHA wa timu ya Chelsea, Thomas Tuchel amesema kuwa sababu kubwa ya kuhitaji saini ya Romelu Lukaku ni kupenda kwake kufunga jambo amb...

GEORGINIO HANA FURAHA PSG
LIGUE 1, EPL NA SERIE A KUENDELEA WIKIENDI HII
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

 


KOCHA wa timu ya Chelsea, Thomas Tuchel amesema kuwa sababu kubwa ya kuhitaji saini ya Romelu Lukaku ni kupenda kwake kufunga jambo ambalo anaamini kwamba litamsaidia.

Lukaku anatua Chelsea akitokea Klabu ya Inter Milan ambapo huko alifanya vizuri msimu uliopita na kutwaa ubingwa wa ligi hiyo ndani ya Serie A.

Dau lake la usajili ni pauni milioni 97.5 ikiwa ni usajili wa ghali msimu huu ndani ya Ligi Kuu England baada ya ule wa kwanza kuwa ni wa Jack Grealish wa Manchester City ambaye alisajiliwa kwa pauni milioni 100 akitokea Aston Villa.

Tuchel amesema:"Nimemchagua Lukaku kwa sababu ni namba tisa halisi ambaye anapenda kufunga mabao. Anapenda kufunga akiwa na mpira amekuwa yuko vizuri lakini atasaidiwa kutengeneza nafasi na wachezaji kama Timo Werner, Kai Havertz na Christian Pulisic," . 





Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: TUCHEL ATAJA SABABU YA KUMPA DILI LUKAKU
TUCHEL ATAJA SABABU YA KUMPA DILI LUKAKU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiXrw3aga24WYckyCTOCKNbNi9aPSNbZl3jOuoR-jxSUiLNWOyRA-iJrk95fnaaLO-8teBrX6suec11L7VQd0-Wu1d7zmx-2BBqGWXf5jjQc5iCj2jCYU7sM1-VV1bOi-kDGbhON7ym7iiI/w640-h360/Lukaku+kushangilia.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiXrw3aga24WYckyCTOCKNbNi9aPSNbZl3jOuoR-jxSUiLNWOyRA-iJrk95fnaaLO-8teBrX6suec11L7VQd0-Wu1d7zmx-2BBqGWXf5jjQc5iCj2jCYU7sM1-VV1bOi-kDGbhON7ym7iiI/s72-w640-c-h360/Lukaku+kushangilia.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/tuchel-ataja-sababu-ya-kumpa-dili-lukaku.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/tuchel-ataja-sababu-ya-kumpa-dili-lukaku.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy