WASHAMBULIAJI CHELSEA WACHAMBULIWA NAMNA HII
HomeMichezo

WASHAMBULIAJI CHELSEA WACHAMBULIWA NAMNA HII

  KAI Havertz nyota wa Chelsea anaamini kwamba bado Timo Werner ataipa timu hiyo kitu cha tofauti licha ya ujio wa mshambuliaji Romelu Lu...

NAMUNGO WAHARIBU RATIBA YA AZAM
MAJEMBE MANNE YA KAZI LEO KUTUMIKA NDANI YA YANGA KUIMALIZA MTIBWA SUGAR
LIGI KUU BARA MECHI ZAKE LEO HIZI HAPA

 


KAI Havertz nyota wa Chelsea anaamini kwamba bado Timo Werner ataipa timu hiyo kitu cha tofauti licha ya ujio wa mshambuliaji Romelu Lukaku.

Werner katika msimu wake wa kwanza kikosini hapo alifunga mabao sita ila mambo yalionekana kuwa magumu kwake na alikuwa anakosolewa mara kwa mara.

Havertz amesema:"Lukaku ameleta vitu vingi na ni straika mzuri. Wote tunafahamu kuwa yeye ni mrefu na ana mwili mkubwa. Na sisi kuwa na namba tisa ya aina yake ni kitu kizuri.

"Mfano tuna Timo yeye ni straika ambaye wakati wote anakuwa nyuma na kutafuta mipira. Kwa sasa tuna mastraika wa aina zote,".



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: WASHAMBULIAJI CHELSEA WACHAMBULIWA NAMNA HII
WASHAMBULIAJI CHELSEA WACHAMBULIWA NAMNA HII
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjn4oC6stwmpxXzIYsLyv7-HyhotO6jY6sYPS7hTkx8bp7A3QX52e_IQAPs2fn9pdGXqdDx3xFj6xu7qXzfn9yyAIck-hr7dquhyDAHBHzxJYXv8DY3UfgXcwqaLYV1qjxCmZFraW1_l1Tb/w640-h520/Screenshot_20210914-061612_Instagram.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjn4oC6stwmpxXzIYsLyv7-HyhotO6jY6sYPS7hTkx8bp7A3QX52e_IQAPs2fn9pdGXqdDx3xFj6xu7qXzfn9yyAIck-hr7dquhyDAHBHzxJYXv8DY3UfgXcwqaLYV1qjxCmZFraW1_l1Tb/s72-w640-c-h520/Screenshot_20210914-061612_Instagram.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/washambuliaji-chelsea-wachambuliwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/washambuliaji-chelsea-wachambuliwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy