LIGUE 1, EPL NA SERIE A KUENDELEA WIKIENDI HII
HomeMichezo

LIGUE 1, EPL NA SERIE A KUENDELEA WIKIENDI HII

  Baada ya mapumziko wiki mbili, wikiendi hii tunarejea viwanjani katika muendelezo wa Ligi mbalimbali barani ulaya. Ligue 1, EPL na Seri...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
ALIYEIFUNDISHA YANGA ASEMA IKIFUNGWA NA SIMBA INAPOTEZA UBINGWA
LEO LIGI KUU ENGLAND NI MANCHESTER UNITED V LIVERPOOL

 


Baada ya mapumziko wiki mbili, wikiendi hii tunarejea viwanjani katika muendelezo wa Ligi mbalimbali barani ulaya. Ligue 1, EPL na Serie Akukupatia mamilioni ya pesa. Dau lako liweke hivi wikiendi hii;

 

PSG kuchuana na Angers katika muendelezo wa Ligue 1 kule Ufaransa. Katika michezo 10 iliyopita, Angers hawajawahi kuwafunga PSG. Msimu huu, mpaka sasa, PSG anaongoza msimamo wa ligi akiwa na pointi 24 huku Angers akishika nafasi ya 4 kwa pointi 16 baada ya michezo 9. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.32 kwa PSG.

 

Kwenye EPL jumamosi hii, Leicester City watawaalika Manchester United pale King PowerStadium. Timu zote mbili zinaingia mchezoni zikiwa na majeruhi kwenye safu zao za ulinzi. Msimu uliopita, United alishinda mchezo 1 kati ya mitatu waliyocheza dhidi ya The Foxes. Msimu huu itakuaje? Weka dau lako kwa United akiwa na Odds ya 2.20 ndani ya Meridianbet.

 

Kivumbi cha soka la Ulaya kitatimka pale Allianz Stadium! Ni Juventus vs AS Roma, hapa Maximilliano Allegri, kule Jose Mourinho. Timu hizi zinatofauti ya pointi 4 kati yao na huu ni mchezo unaoweza kuongeza wigo wa pointi. Meridianbet tumekuweka Odds ya 1.95 kwa Juventus.


Emirate Stadium kuwashuhudia nguli wawili wakioza timu zao ndani ya dakika 90. Patrick Viera akiwa na Crystal Palace, Mikel Arteta akiwa na Arsenal. Vita ya beki vs kiungo. Wachezaji hawa waliwahi kuitumikia Arsenal kwa vipindi tofauti na wote waliwahi kuwa manahodha wa kikosi hicho chini ya Arsene Wenger. Jumatatu hii, ni vita ya marafiki wawili wakiwa na timu mbili kinzani. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.70 kwa Arsenal.

 


Meridianbet – Bashiri Popote, Wakati Wowote!

 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: LIGUE 1, EPL NA SERIE A KUENDELEA WIKIENDI HII
LIGUE 1, EPL NA SERIE A KUENDELEA WIKIENDI HII
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEj4_0ozOAJWnGN_XhxGZt8DRW__jdvwDPJYxB7R3t298wH_z7TgEbmCiHTfRqEjgNIbNFxYh-SMJeshOFPLUyvYEo81Fn7cYD4cIL2FF6rl7GVZ9NhUo3ew2LrPziz3BUKZGoYc5Hh-WuC1NCLf0LePFmLkVus7afsOM3Rxmwsi-n8NkWm-0yIAFNFTLA=w640-h426
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEj4_0ozOAJWnGN_XhxGZt8DRW__jdvwDPJYxB7R3t298wH_z7TgEbmCiHTfRqEjgNIbNFxYh-SMJeshOFPLUyvYEo81Fn7cYD4cIL2FF6rl7GVZ9NhUo3ew2LrPziz3BUKZGoYc5Hh-WuC1NCLf0LePFmLkVus7afsOM3Rxmwsi-n8NkWm-0yIAFNFTLA=s72-w640-c-h426
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/ligue-1-epl-na-serie-kuendelea-wikiendi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/ligue-1-epl-na-serie-kuendelea-wikiendi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy