ONYANGO AWATUMIA UJUMBE WANAOMUITA MZE, ATWAA MATAJI MANNE BONGO
HomeMichezo

ONYANGO AWATUMIA UJUMBE WANAOMUITA MZE, ATWAA MATAJI MANNE BONGO

 NYOTA wa Simba, Joash Onyango amesema kuwa wale ambao walikuwa wanambeza msimu huu uliomeguka wa 2020/21 kwamba ni mzee wameona kazi aliy...

KAZE:NILIWASOMA MTIBWA SUGAR ZANZIBAR
LIVERPOOL YACHANA MKEKA ANFIELD
NYOTA AZAM FC NJE WIKI SITA

 NYOTA wa Simba, Joash Onyango amesema kuwa wale ambao walikuwa wanambeza msimu huu uliomeguka wa 2020/21 kwamba ni mzee wameona kazi aliyofanya na mwisho wa siku wameweza kukaa kimya.

Onyango ambaye ni ingizo jipya ndani ya Simba aliibuka hapo akitokea Klabu ya Gor Mahia ya Kenya.

Wakati anatua Simba mashabiki wengi wa timu pinzani pamoja na wale wa timu yake baadhi walikuwa wakieleza kwamba umri umekwenda na ni mzee hivyo hataweza kufanya vizuri.

Kwa msimu huu ni miongoni mwa mabeki bora ndani ya ligi kwa sababu timu ya Simba imefungwa mabao machache ambayo ni 14 baada ya kucheza mechi 34.

Onyango amesema:"Nilikuwa ninawaskia wakiniita mzee hilo ni sawa kwa kuwa wao walikuwa wameamua na waliona hivyo haina tatizo.

"Kwa ajili ya kile ambacho nimefanya wamekaa kimya hawajaniita mzee tena hivyo msimu ujao tena Mungu akipenda nikiwa hai basi nitapambana zaidi," amesema. 

Kwa msimu wa 2020/21 alikuwa ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Didier Gomes na hata zama zile za Sven Vandenbroeck alikuwa chaguo la kwanza.

Amenyanyua makwapa mara nne kwa kuanza na Ngao ya Jamii, Simba Super Cup, Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: ONYANGO AWATUMIA UJUMBE WANAOMUITA MZE, ATWAA MATAJI MANNE BONGO
ONYANGO AWATUMIA UJUMBE WANAOMUITA MZE, ATWAA MATAJI MANNE BONGO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgjAU2DFw9dkSKfMi5tIPncdObwnk_3OwKITCvK0qZWL3OIStIQgisbdjNI1smcxFdIO6TtvKmi2jpenNyeLPpS7EUnyI6kuShH9jmwaLPCmlPcHt0LMCXeAEdod2OTsjQ886neclJcHXnF/w362-h640/Onyango+na+Gomes.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgjAU2DFw9dkSKfMi5tIPncdObwnk_3OwKITCvK0qZWL3OIStIQgisbdjNI1smcxFdIO6TtvKmi2jpenNyeLPpS7EUnyI6kuShH9jmwaLPCmlPcHt0LMCXeAEdod2OTsjQ886neclJcHXnF/s72-w362-c-h640/Onyango+na+Gomes.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/onyango-awatumia-ujumbe-wanaomuita-mze.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/onyango-awatumia-ujumbe-wanaomuita-mze.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy