MZAWA DEUS KASEKE AWEKA REKODI YAKE YANGA
HomeMichezo

MZAWA DEUS KASEKE AWEKA REKODI YAKE YANGA

  N YOTA mzawa,  Deus Kaseke  anayecheza ndani  ya kikosi cha  Yanga ameweka rekodi yake  ya kuwa mzawa anayefanya  vema ndani ya kikosi h...

WANAWEZA WAKAAMUA MATOKEO YA MECHI
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

 NYOTA mzawa, Deus Kaseke anayecheza ndani ya kikosi cha Yanga ameweka rekodi yake ya kuwa mzawa anayefanya vema ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nassredine Nabi.

 

Licha ya kutokuwa na zali la kupendwa na mashabiki wa timu hiyo, nyota huyo ni namba moja kwa wenye rekodi nzuri ndani ya Yanga kwa msimu huu wa 2020/21.

 

Amehusika kwenye jumla ya mabao 10 kati ya 43, yaliyofungwa na kikosi hicho ambapo amefunga mabao sita na ana jumla ya pasi nne za mabao.

 

Mbali na kuweza kufunga mabao hayo pia miguu yake iliamua timu hiyo kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho baada ya kufunga jumla ya mabao mawili kwenye mchezo wao dhidi ya Mwadui FC, uliochezwa Uwanja wa Kambarage.

 

Kwa upande wa nyota wa kigeni kinara wao ni Yacouba Songne ambaye ni namba moja kwa utupiaji akiwa na mabao 7 na ametengeneza pasi nne za mabao. Amehusika katika mabao 11 kati ya 43 yaliyofungwa na timu hiyo iliyo nafasi ya pili na pointi 61



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MZAWA DEUS KASEKE AWEKA REKODI YAKE YANGA
MZAWA DEUS KASEKE AWEKA REKODI YAKE YANGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiJxDAnKCC3qL1rjdZRRsiTJt3dXwn-zSki9hHZvvaAhenZjnxYQJwKvJWrqgoSSIbt6IcnhlatonjIrKIViAGgjBDqujwI8BsBgp3RfMEuVizCBj70It5poiBLO9UGp_rrxjybiLhLzkZM/w640-h640/deuskaseke04-197907791_544374203395795_6857622779468718364_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiJxDAnKCC3qL1rjdZRRsiTJt3dXwn-zSki9hHZvvaAhenZjnxYQJwKvJWrqgoSSIbt6IcnhlatonjIrKIViAGgjBDqujwI8BsBgp3RfMEuVizCBj70It5poiBLO9UGp_rrxjybiLhLzkZM/s72-w640-c-h640/deuskaseke04-197907791_544374203395795_6857622779468718364_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/mzawa-deus-kaseke-aweka-rekodi-yake.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/mzawa-deus-kaseke-aweka-rekodi-yake.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy