Maadhimisho ya Siku ya Usafiri wa Maji duniani kuanza leo Septemba 23
HomeHabariTop Stories

Maadhimisho ya Siku ya Usafiri wa Maji duniani kuanza leo Septemba 23

Mkuu wa wilaya ya Musoma Mh Juma Chikoka amesema katika kuelekea maadhimisho ya siku ya usafiri wa maji duniani yana anza tarehe23 hadi 26 S...

Mkuu wa wilaya ya Musoma Mh Juma Chikoka amesema katika kuelekea maadhimisho ya siku ya usafiri wa maji duniani yana anza tarehe23 hadi 26 Septemba katika viwanja vya Mkendo ,manispaa ya Musoma mkoani Mtwara maandalizi yake yamekwisha kamilila kwa asilimia 99.

“Kwa asilimia 99 nimeridhishwa na maandalizi haya na nichukue fursa hii kuwakaribisha wananchi wote wa mkoa wa Mara kwenye maonesho haya kujionea na kujifunza kuhusu masuala ya usafiri kwa njia ya maji” Mh Chikoka

“Maadhimisho haya yanatoa fursa kwa wananchi kijifunza juu ya usalama kwa watumiaji wa usafiri wa maji unaotumiwa na asilimia kubwa na wakazi wa Mara ambao pia ni wavuvi na wafanyabiashara hasa kujifunza zaidi fursa na shughuli za kiuchumi zinazofanyika kupitia bahari na maziwa yetu makuu”

Maadhimisho haya ya siku ya usafiri kwa njia ya maji yanatarajiwa kufunguliwa kesho Jumatatu na Waziri wa miundombinu,mawasiliano na uchukuzi Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,Mhe.Dkt.Khalid Salum.

Kilele kikitarajiwa kuwa tarehe 26 Septemba 2024,mgeni rasmi akitarajiwa kuwa Waziri wa uchukuzi Mh.Prof.Makame Mbarawa.

Kauli mbiu ya maadhimisho haya ni “Navigating the future:safety first”

The post Maadhimisho ya Siku ya Usafiri wa Maji duniani kuanza leo Septemba 23 first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/8JYVhTz
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Maadhimisho ya Siku ya Usafiri wa Maji duniani kuanza leo Septemba 23
Maadhimisho ya Siku ya Usafiri wa Maji duniani kuanza leo Septemba 23
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/09/38867995-93cd-4e7f-9655-3a6fc92a2324-950x760.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/09/maadhimisho-ya-siku-ya-usafiri-wa-maji.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/09/maadhimisho-ya-siku-ya-usafiri-wa-maji.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy