MAKOCHA 72 WAOMBA KAZI YANGA
HomeMichezo

MAKOCHA 72 WAOMBA KAZI YANGA

  WAKATI kwa sasa kikosi cha Yanga kinachoongoza Ligi Kuu Bara kikiwa na pointi 50 kikiwa chini ya Kaimu Kocha, Juma Mwambusi, UONGOZI wa...

YANGA WANAPASWA WAMPONGEZE MWAMUZI ARAJIGA
ABDALLAH ASHINDA JACKPOT YA SPORTPESA
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

 


WAKATI kwa sasa kikosi cha Yanga kinachoongoza Ligi Kuu Bara kikiwa na pointi 50 kikiwa chini ya Kaimu Kocha, Juma Mwambusi, UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kuna maombi ya makocha zaidi ya 73 ambao wameomba kukinoa kikosi hicho. 


Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli amesema kuwa mchakato wa kumtafuta Kocha mpya unaendelea na atakuja mapema kabla mzunguko wa pili haujakamilika. 

"Tumefanya mabadiliko Kwenye benchi la ufundi kama ambavyo watu wameskia kwa kuwa timu ilikuwa haipati matokeo . Mambo haya yameamuliwa na uongozi.


"Mwalimu mwenyewe alikubali na tumemalizana nao kwa amani kabisa kwa kuwa Juma Mwambusi amechukuliwa kwa muda mpaka pale Kocha mkuu atakapopatikana kwani hakufukuzwa na baada ya mazungumzo naye alikubali na ikumbukwe kuwa tulichangia gharama za matibabu.


"Kwa kuwa amepona na yeye mwenyewe amekubali kurudi mpaka Alhamisi tumepokea zaidi ya 72 za watu wapya na wengine ni wa zamani na nyingine zinaendelea kuja, ".


Kwenye mechi sita za mwisho za Cedric Kaze katika mzunguko wa pili alishinda mechi moja ilikuwa dhidi ya Mtibwa Sugar ambapo alishinda bao 1-0, Uwanja wa Mkapa kwa pasi ya Tuisila Kisinda na lilifungwa na Carlos Carinhos.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MAKOCHA 72 WAOMBA KAZI YANGA
MAKOCHA 72 WAOMBA KAZI YANGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhmrl17MF1thpaWVhn6sOW7_jB6huLG_PCXJ5E1YLvA2PYnY43uYx4n9dNLXyDzZbCUl3P-H6G9m6XH90jBZQ6SDtmk2MuhG-UngAjBiyADulSj_f_Hsk6GhrzKgEJdzOIGMXe-vboftp3-/w640-h640/IMG_20210314_092938_084.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhmrl17MF1thpaWVhn6sOW7_jB6huLG_PCXJ5E1YLvA2PYnY43uYx4n9dNLXyDzZbCUl3P-H6G9m6XH90jBZQ6SDtmk2MuhG-UngAjBiyADulSj_f_Hsk6GhrzKgEJdzOIGMXe-vboftp3-/s72-w640-c-h640/IMG_20210314_092938_084.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/makocha-72-waomba-kazi-yanga.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/makocha-72-waomba-kazi-yanga.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy