KMC KUWA NA NYOTA WA KAZI ZAIDI YA 30 MSIMU UJAO
HomeMichezo

KMC KUWA NA NYOTA WA KAZI ZAIDI YA 30 MSIMU UJAO

  UONGOZI wa Klabu ya KMC umeweka wazi kwamba kwa msimu ujao utakuwa na kikosi kazi ambacho kitajumuisha jumla ya wachezaji 30. KMC yen...

SIMBA YAFUNGUKIA SUALA LA ZAHERA KUWA KWENYE BENCHI LA UFUNDI
FAROUK SHIKALO AREJEA BONGO AKITOKEA KENYA
SHEVA AMKUMBUKA SVEN NDANI YA SIMBA

 


UONGOZI wa Klabu ya KMC umeweka wazi kwamba kwa msimu ujao utakuwa na kikosi kazi ambacho kitajumuisha jumla ya wachezaji 30.


KMC yenye maskani yake Kinondoni ilimaliza ligi msimu uliopita wa 2020/2021 ikiwa nafasi ya tano kwenye msimamo baada ya kufikisha jumla ya pointi 48.

Kwa sasa sasa kikosi hicho bado hakijatangaza nyota ambaye wamemalizana naye huku nyota wake David Bryson akitangazwa kuwa mali ya Yanga.

 Katibu wa KMC, Walter Harrison amesema kuwa timu hiyo inatarajiwa kuingia kambini mwishoni mwa mwezi huu kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao.

“Tunatarajiwa kuwa na wachezaji 30 ama 40 kwa kikosi kizima itategemea na mahitaji. Maandalizi yanakwenda vizuri na tumejipanga.

 
"Inshu ya usajili unaendelea katika hatua za awali na tutakapofanikisha tutawajuza mashabiki wa KMC kuhusu usajili wetu. Kuhusu kambi tunategemea kuingia mwezi huu,” amesema Harrison.

 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KMC KUWA NA NYOTA WA KAZI ZAIDI YA 30 MSIMU UJAO
KMC KUWA NA NYOTA WA KAZI ZAIDI YA 30 MSIMU UJAO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEimzz9_9rj27ogomuUveoznFlv_gP8aVDp1g6Y73WTAr_wSI5pXTZlmJwPmfXSubh2UgfOpDXviDlx3PIkNzE6o055pVdB90B3QXA4lp0Gnz8S31dpmBpKtP0CZrrYwcQTL-RcRxRYwBMMj/w640-h426/KMC.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEimzz9_9rj27ogomuUveoznFlv_gP8aVDp1g6Y73WTAr_wSI5pXTZlmJwPmfXSubh2UgfOpDXviDlx3PIkNzE6o055pVdB90B3QXA4lp0Gnz8S31dpmBpKtP0CZrrYwcQTL-RcRxRYwBMMj/s72-w640-c-h426/KMC.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/kmc-kuwa-na-nyota-wa-kazi-zaidi-ya-30.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/kmc-kuwa-na-nyota-wa-kazi-zaidi-ya-30.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy