JUMA MAKAPU WA YANGA KUIBUKIA MTIBWA SUGAR

  KLABU ya Yanga inadaiwa kuwa imemuacha mchezaji wake Juma Makapu ambaye ameitumikia klabu hiyo kwa kipindi kirefu. Makapu amekuwa na kik...


 KLABU ya Yanga inadaiwa kuwa imemuacha mchezaji wake Juma Makapu ambaye ameitumikia klabu hiyo kwa kipindi kirefu. Makapu amekuwa na kikosi cha Yanga kwa kipindi kirefu lakini ameshindwa kabisa kupata nafasi katika kikosi cha kwanza. Inadaiwa kuwa Makapu anaweza kujiunga na klabu ya Mtibwa Sugar muda wowote kuanzia sasa.

 

Katika makocha wote ambao wamepita katika klabu ya Yanga hakuna kocha hata mmoja ambaye aliweza kumuamini Makapu na kumpa nafasi ya kudumu katika kikosi cha kwanza.


 Makapu amekuwa mvumilivu kwa kiasi kikubwa licha ya kukosa nafasi, kama ataweza kwenda Mtibwa itakuwa ni chaguo sahihi kwake kwani atapata nafasi ya kucheza na kuonesha uwezo wake alionao.

 

Katika vilabu vya Simba na Yanga maisha ya wachezaji wa ndani yamekuwa magumu wachezaji wa kigeni wameweza kutawala kwa kiasi kikubwa. Ukiangalia wachezaji wengi ambao wanakosa nafasi ya kucheza katika klabu ya Yanga pamoja na Simba ni wachezaji wazawa na hii imekuwa changamoto kubwa kwao. Lakini ni jitihada binafsi inabidi ziongezwe na wachezaji wenyewe ili waweze kupata nafasi ya kucheza.

 

Makapu ni moja ya mchezaji mzuri na mwenye faida ndani ya timu kwani anauwezo wa kucheza namba zaidi ya moja kwahiyo kwenda Mtibwa kunaweza kumsaidia kuonesha uwezo wake na baadae kurudi katika klabu kubwa. Makapu alisajiliwa na Yanga akitokea Zanzibar na ameweza kucheza katika kikosi cha Yanga kwa uaminifu mkubwa.

 

Kuna mifano ya wachezaji wengi ambao walishindwa kufanya vizuri baada ya kusajiliwa na klabu kubwa. Yanga iliweza kumsajili Rafael Daudi msimu misimu miwili iliyopita lakini alindwa kufanya vizuri, presha katika klabu kubwa imekuwa changamoto kwa wachezaji wengi hasa wazawa na imekuwa ikawafanya kushindwa kucheza mpira vizuri.

 

Mchezaji kama Hassan Dilunga alishindwa kufanya vizuri akiwa na kikosi cha Yanga aliweza kwenda Mtibwa na baadae akasajiliwa tena na klabu ya Simba, kwahiyo kukubali kurudi kuanzia chini sio jambo baya katika maisha ya soka wapo wachezaji wengi wakubwa duniani waliweza kufanya ivyo na leo wanachezea vilabu vikubwa.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly

COMMENTS

BLOGGER
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3476,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,615,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: JUMA MAKAPU WA YANGA KUIBUKIA MTIBWA SUGAR
JUMA MAKAPU WA YANGA KUIBUKIA MTIBWA SUGAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiXS2Q5Av5n2MhwT7pE4iveKDEQGeVqXz-RTfFCAp6DhIjtRip0HcFObJo8xcLZCkY1GqFdoMeIJ92tQEE_YSEHmd7H1g6O2KibHPU0Q2_4ob1X24zM5rhv-XzG64CFyOAgjKnVOzPjzQbr/w640-h640/Makapu.jpeg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiXS2Q5Av5n2MhwT7pE4iveKDEQGeVqXz-RTfFCAp6DhIjtRip0HcFObJo8xcLZCkY1GqFdoMeIJ92tQEE_YSEHmd7H1g6O2KibHPU0Q2_4ob1X24zM5rhv-XzG64CFyOAgjKnVOzPjzQbr/s72-w640-c-h640/Makapu.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/juma-makapu-wa-yanga-kuibukia-mtibwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/juma-makapu-wa-yanga-kuibukia-mtibwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy