MBWANA SAMATTA: HAIKUWA MALENGO YETU KUISHIA HATUA YA MAKUNDI
HomeMichezo

MBWANA SAMATTA: HAIKUWA MALENGO YETU KUISHIA HATUA YA MAKUNDI

  MBWANA Samatta, nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania,  Taifa Stars amesema kuwa haikuwa hesabu zao kuishia hatua ya makundi katika kuwa...

JOHN BOCCO AWEKA KANDO TUZO YA UFUNGAJI BORA
SIRI ZA RONALDO ZAWEKWA WAZI
KUMBE JONAS MKUDE ANATAFUTIWA SABABU SIMBA

 


MBWANA Samatta, nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania,  Taifa Stars amesema kuwa haikuwa hesabu zao kuishia hatua ya makundi katika kuwania kufuzu michuano ya Mataifa ya Afrika,(Afcon).


Stars ilimaliza mchezo wake wa mwisho wa hatua ya makundi jana Machi 28 kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Libya, Uwanja wa Mkapa.


Ushindi huo wa Stars umewanyima fursa ya kushiriki Afcon nchini Cameroon kutoka kundi J ambalo Tunisia ni vinara na pointi 16 wakifuatiwa na Equatorial Guinea wenye 9 na Libya nafasi ya nne na pointi 3.


Ikiwa na pointi zake 7 nafasi ya tatu ina kazi ya kujipanga upya kwa ajili ya wakati ujao kufanya vizuri hasa katika mechi za mwanzo ambazo imekuwa ikipata tabu kupata matokeo.


Samatta amesema:"Haikuwa malengo yetu kuishia hapa tunajua mashabiki wameumia, hata sisi tumeumia tutajipanga upya wakati ujao,".



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MBWANA SAMATTA: HAIKUWA MALENGO YETU KUISHIA HATUA YA MAKUNDI
MBWANA SAMATTA: HAIKUWA MALENGO YETU KUISHIA HATUA YA MAKUNDI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhp6324O52FUivZnxsbQtu_9MnMNj07E4WAbI8dT2bWH8_DJNvQVtuR8396ZRWWa7s9UyyKe9EULrXvrfAbBbNNiMLOi2TsZUYPrVXwLcP-jbCNAHc-OHIHqVQDW-lEdcsjhPczLlf-G1O1/w640-h640/IMG_20210329_082411_545.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhp6324O52FUivZnxsbQtu_9MnMNj07E4WAbI8dT2bWH8_DJNvQVtuR8396ZRWWa7s9UyyKe9EULrXvrfAbBbNNiMLOi2TsZUYPrVXwLcP-jbCNAHc-OHIHqVQDW-lEdcsjhPczLlf-G1O1/s72-w640-c-h640/IMG_20210329_082411_545.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/mbwana-samatta-haikuwa-malengo-yetu.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/mbwana-samatta-haikuwa-malengo-yetu.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy