NEYMAR ATAKA KUKAA MUDA MREFU NDANI YA PSG NA MBAPPE
HomeMichezo

NEYMAR ATAKA KUKAA MUDA MREFU NDANI YA PSG NA MBAPPE

 MSHAMBULIAJI wa Klabu ya PSG, Neymar Jr amesema kuwa atabaki ndani ya kikosi hicho pamoja na nyota mwenzake Kylian Mbappe. Imekuwa ikiel...

UBINGWA LIGI KUU ENGLAND SI MCHEZO
ISHU YA SIMBA KUPELEKWA MAHAKAMANI IPO HIVI, MAWAKILI KAMA WOTE WAANDALIWA
GEORGINIO HANA FURAHA PSG

 MSHAMBULIAJI wa Klabu ya PSG, Neymar Jr amesema kuwa atabaki ndani ya kikosi hicho pamoja na nyota mwenzake Kylian Mbappe.

Imekuwa ikielezwa kuwa nyota hao wapo kwenye mpango wa kusepa ndani ya PSG ili kupata changamoto mpya.

Mbappe amekuwa akitajwa kuwekwa kwenye rada na Liverpool huku Neymar Jr akitajwa kurejea ndani ya Klabu ya Barcelona.

Neymar amesema kuwa wanahitaji kubaki ndani ya timu hiyo kwa muda mrefu ili kuona wanapata mafanikio ndani ya timu hiyo.

"Wachezaji wote tunapenda kuona kwamba tunafikia mafanikio ambayo tunayatafuta na itapendeza ikiwa tutabaki ndani ya timu hii kwa muda mrefu.

"Mambo mengi yamebadilika, nina furaha kuwa hapa na ninapenda kuwa hapa kwa sasa ninaamini kwamba hata Mbappe naye pia anafuraha atafanya kama mimi," .




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: NEYMAR ATAKA KUKAA MUDA MREFU NDANI YA PSG NA MBAPPE
NEYMAR ATAKA KUKAA MUDA MREFU NDANI YA PSG NA MBAPPE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjANPVihRRnR3aK71yDGdYAcg9oMQt8QHRnzDQv2J2Ds7NXg1wNw8mOj30ebdQrmBq0fDXyxzz4NihqXHhicCBrYlSkyLHfdeQBZgtBSYEIhUuDy1b-E8gG7aQmlc52gojzxi0h6bJFXlxL/w640-h398/neyma.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjANPVihRRnR3aK71yDGdYAcg9oMQt8QHRnzDQv2J2Ds7NXg1wNw8mOj30ebdQrmBq0fDXyxzz4NihqXHhicCBrYlSkyLHfdeQBZgtBSYEIhUuDy1b-E8gG7aQmlc52gojzxi0h6bJFXlxL/s72-w640-c-h398/neyma.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/neymar-ataka-kukaa-muda-mrefu-ndani-ya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/neymar-ataka-kukaa-muda-mrefu-ndani-ya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy