BEKI SIMBA ASAINI DILI GEITA GOLD
HomeMichezo

BEKI SIMBA ASAINI DILI GEITA GOLD

 DAVID Kameta beki wa Simba,msimu wa 2021/21 atakuwa ni mali ya Geita Gold. Beki huyo aliibuka ndanj ya Simba akitokea kikosi cha Lipuli ...

KOCHA SIMBA AFUNGUKIA SAKATA LAKE NA MORRISON
KLOOP:TUNAPITA KWENYE MATESO MAKUBWA NDANI YA UWANJA
MANCHESTER UNITED YAJIPIGIA CITY NDANI YA LIGI KUU ENGLAND
 DAVID Kameta beki wa Simba,msimu wa 2021/21 atakuwa ni mali ya Geita Gold.

Beki huyo aliibuka ndanj ya Simba akitokea kikosi cha Lipuli ya Iringa na sasa inashiriki Ligi Daraja la Pili.


Dili lake ni la muda wa miaka miwili ndani ya Simba hivyo atakuwa huko kwa mkopo ndani ya Geita Gold.


Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Geita Gold, Aman Nicholaus amesema kuwa wanaendelea na usajili kwa ajili ya msimu ujao.


"Ni kweli kuwa tumesajili wachezaji watatu ikiwa ni pamoja na David Kameta kutoka Simba kwa mkopo,wa mwaka mmoja, Benedict Tinocco huyu ni kipa na Ramadhan Abdallah kutoka Rhino, Rangers kwa mkataba wa miaka miwili," .

 Kameta ndani ya Simba ambao walitwaa ubingwa katika mabao 78 alihusika katika mabao mawili ambapo alitengeneza pasi za mwisho za mabao.

Anajiunga na Geita Gold ambayo imepanda daraja msimu huu na itashiriki Ligi Kuu Bara.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: BEKI SIMBA ASAINI DILI GEITA GOLD
BEKI SIMBA ASAINI DILI GEITA GOLD
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhszWSDTB2f8l1NUb_0xo3W5I60S27DnRVUsc0MgwnA7pNMQjQQ6ZuEgsRWwwnlzm-pW9PQowsUk0Tp5cVZbupUWm7bA9295iImDDe81My4UQ_T6J8M2LIFY72g114FV9Gp4jw-Knwvel8m/w640-h402/Screenshot_20210814-081702_Instagram.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhszWSDTB2f8l1NUb_0xo3W5I60S27DnRVUsc0MgwnA7pNMQjQQ6ZuEgsRWwwnlzm-pW9PQowsUk0Tp5cVZbupUWm7bA9295iImDDe81My4UQ_T6J8M2LIFY72g114FV9Gp4jw-Knwvel8m/s72-w640-c-h402/Screenshot_20210814-081702_Instagram.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/beki-simba-asaini-dili-geita-gold.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/beki-simba-asaini-dili-geita-gold.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy