KLOOP:TUNAPITA KWENYE MATESO MAKUBWA NDANI YA UWANJA
HomeMichezo

KLOOP:TUNAPITA KWENYE MATESO MAKUBWA NDANI YA UWANJA

KUPOTEZA kwa kichapo mbele ya Fulham kumemfanya Kocha Mkuu wa timu hiyo Jurgen Klopp aweke wazi kuwa mateso ambayo wanapitia kwa sasa ni m...


KUPOTEZA kwa kichapo mbele ya Fulham kumemfanya Kocha Mkuu wa timu hiyo Jurgen Klopp aweke wazi kuwa mateso ambayo wanapitia kwa sasa ni makubwa kwa kukosa matokeo ndani ya uwanja.

 Liverpool wakiwa Uwanja wa Anfield ubao ulisoma Liverpool 0-1 Fulham na bao lilifungwa na Mario Lemina dakika ya 45.

Matokeo hayo kwa Liverpool yanawafanya wazidi kuwa kwenye wakati mgumu wa kutetea taji lao kwa msimu huu wa 2020/21 kwa kuwa wapo nafasi ya 8 na pointi zao ni 43 baada ya kucheza jumla ya mechi 28.

Wapinzani wao Fulham wapo nafasi ya 18 na pointi zao ni 26 kibindoni wote pia wamecheza jumla ya mechi 28 ndani ya Ligi Kuu England ambayo imekuwa na ushindani mkubwa.

Klopp amesema:"Haya maumiv ambayo tunapitia kwa sasa inatosha kwani matokeo yamekuwa sio mazuri, nina amini kwamba tutarejea kwenye ubora wetu hivi karibuni," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KLOOP:TUNAPITA KWENYE MATESO MAKUBWA NDANI YA UWANJA
KLOOP:TUNAPITA KWENYE MATESO MAKUBWA NDANI YA UWANJA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgo5WZtBBrhiwScIXyz9JxOOmTbD1IfXsNALx-_3Aa6twtkGvfewe_Lp2tOIXPSJF1L8ixtZ9-Mxk-QdTjAFUNvw9GW7PR-7RJx-XvPFwQG90ZydnOgwENlUqLMA3koN-6aCr2wWhApHeqn/w640-h400/Fulham+ushindi.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgo5WZtBBrhiwScIXyz9JxOOmTbD1IfXsNALx-_3Aa6twtkGvfewe_Lp2tOIXPSJF1L8ixtZ9-Mxk-QdTjAFUNvw9GW7PR-7RJx-XvPFwQG90ZydnOgwENlUqLMA3koN-6aCr2wWhApHeqn/s72-w640-c-h400/Fulham+ushindi.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/klooptunapita-kwenye-mateso-makubwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/klooptunapita-kwenye-mateso-makubwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy