MANCHESTER UNITED YAJIPIGIA CITY NDANI YA LIGI KUU ENGLAND
HomeMichezo

MANCHESTER UNITED YAJIPIGIA CITY NDANI YA LIGI KUU ENGLAND

 OLE Gunnar Solskjaer,  Kocha Mkuu wa Manchester United amesema kuwa vijana wake walipambana kwa hali na mali na kufanikiwa kusepa na poin...


 OLE Gunnar Solskjaer,  Kocha Mkuu wa Manchester United amesema kuwa vijana wake walipambana kwa hali na mali na kufanikiwa kusepa na pointi tatu muhimu mbele ya Manchester City. 

Baada ya dakika 90 kukamilika Uwanja wa City of Manchester ubao ulisoma, Manchester City 0-2 Manchester United ambapo mabao ya United yalipachikwa na Bruno Fernandes dakika ya pili kwa penalti na Luke Shaw dakika ya 50.


Ushindi huo unaifanya United kufikisha jumla ya pointi 54 ikiwa nafasi ya pili huku City ikibaki nafasi ya kwanza na pointi zake ni 65 na zote zimecheza jumla ya mechi 28.

Bruno amesema kuwa ni kazi kubwa kupiga penalti hasa unapopewa majukumu hayo kwenye presha ya kusaka ushindi jambo ambalo huwa linampa tabu.

"Ni ngumu kupiga penalti ndani ya ligi hasa pale unapoaminiwa na huwa inakuwa presha kubwa kwangu pamoja na timu kiujumla ila huwa tunafurahi pale ambapo tunashinda," .




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MANCHESTER UNITED YAJIPIGIA CITY NDANI YA LIGI KUU ENGLAND
MANCHESTER UNITED YAJIPIGIA CITY NDANI YA LIGI KUU ENGLAND
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgMMUe5mTmk9CnqNV4L-aIwsbApUaIYVivrHkCyRLh3OwUN6fU6sv8-E3Yo37FAwI_lF29t8l9nreCD3jKtdYh_R3Z13R0EkRQ881fWLUJr_4_tdaXCJ0EgMjOdByg-kaVF4jfM19xP8ot-/w640-h640/IMG_20210308_070905_114.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgMMUe5mTmk9CnqNV4L-aIwsbApUaIYVivrHkCyRLh3OwUN6fU6sv8-E3Yo37FAwI_lF29t8l9nreCD3jKtdYh_R3Z13R0EkRQ881fWLUJr_4_tdaXCJ0EgMjOdByg-kaVF4jfM19xP8ot-/s72-w640-c-h640/IMG_20210308_070905_114.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/manchester-united-yajipigia-city-ndani.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/manchester-united-yajipigia-city-ndani.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy