SIMBA QUEENS WAPANIA KIMATAIFA
HomeMichezo

SIMBA QUEENS WAPANIA KIMATAIFA

  MABINGWA wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Simba Queens wameweka wazi kwamba wana imani ya kufanya vizuri katika mashindano ya Kimataifa....

VIDEO:UZI MPYA WA SIMBA UKIWA NA MZEE WA KUCHETUA BERNARD MORRISON
YANGA:TUTARUDI TUKIWA IMARA ZAIDI
SIMBA:KAZI IPO PALEPALE

 MABINGWA wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Simba Queens wameweka wazi kwamba wana imani ya kufanya vizuri katika mashindano ya Kimataifa.

Simba Queens kwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) wanatarajia kukutana nao kwenye michezo ya kusaka tiketi ya kwenda Ligi ya Mabingwa wa Afrika.


Simba wanatarajia kwenda nchini Kenya kwa ajili ua mashindano hayo ambayo yataanza kufanyika Julai 17 hadi Agosti 1 jijini Nairobi na ratiba ya michuano hiyo inatarajiwa kutoka wiki hii.

Meneja wa Simba Queens, Selemani Errasy Makanya amesema kuwa ana imani kwamba vijana wake wa watatwaa ubingwa wa Cecafa na kukata tiketi ya kwenda Champions League ambayo itafanyika baadae mwakani nchini Misri.

"Nina imani kuwa vijana wetu watanya vizuri na kutwaa ubingwa wa Cecafa na kupata tiketi ya kwenda ligi ya mabingwa kwa kuwa hiyo ndiyo dhamira yetu,” alisema Makanya.

Simba waliingia kambini tangu Juni 17 na wamekuwa wakipiga tizi ili kujiweka tayari kwa mashindano hayo.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA QUEENS WAPANIA KIMATAIFA
SIMBA QUEENS WAPANIA KIMATAIFA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgMzqz66AdLvXLcoqeGDsJOptrTyXPkmgjzOfDb17-hpnRauXQ2M9SI0mKsg7fnBCoqldR7Hp5dH7Na0yELSqCfuBxgMCLWPFL1tUExpwb3CSZATr80VWh283IeiTjHzriQzqsMwvw3n4sR/w640-h466/simbaqueensctz-188815862_297513611907827_1895919461679889744_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgMzqz66AdLvXLcoqeGDsJOptrTyXPkmgjzOfDb17-hpnRauXQ2M9SI0mKsg7fnBCoqldR7Hp5dH7Na0yELSqCfuBxgMCLWPFL1tUExpwb3CSZATr80VWh283IeiTjHzriQzqsMwvw3n4sR/s72-w640-c-h466/simbaqueensctz-188815862_297513611907827_1895919461679889744_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/simba-queens-wapania-kimataifa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/simba-queens-wapania-kimataifa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy