MITAMBO HII YA KAZI NDANI YA AZAM FC KUIKOSA MBEYA CITY
HomeMichezo

MITAMBO HII YA KAZI NDANI YA AZAM FC KUIKOSA MBEYA CITY

 IKIWA leo Azam FC itakuwa nyumbani kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya City, nyota wawili wataukasa mchezo wa leo. Nyota hao n...


 IKIWA leo Azam FC itakuwa nyumbani kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya City, nyota wawili wataukasa mchezo wa leo.

Nyota hao ni pamoja na Salum Abubakr,'Sure Boy' ambaye ameshtua nyonga pamoja na Frank Domayo.

Domayo ambaye ni kiungoyeye ni majera ya goti yanamsumbua na atakaa nje ya uwanja kwa muda wa mwezi mzima kabla ya kureja uwanjani.

Mbeya City inaingia kwenye mchezo wa leo Uwanja wa Azam Complex ikikumbuka kwamba mchezo wa kwanza Uwanja wa Sokoine ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0.

Timu ya Azam FC inaingia uwanjani ikiwa inakumbuka kwamba iliacha jumla pointi tatu pale Mkwakwani, Tanga kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Coastal Union.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MITAMBO HII YA KAZI NDANI YA AZAM FC KUIKOSA MBEYA CITY
MITAMBO HII YA KAZI NDANI YA AZAM FC KUIKOSA MBEYA CITY
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhcJ8xRfjF4RAHo0SmRLI-eXNnRNVuWEipgU7wJV0iyC_rg6DTiidy0f57Jr6YYMkDd6NvbusV7AUWiqNv1-OVn68EBsDCrpCC0C4dbLu9EjDz_lu4cn4WqtY17Wvr_GeKtnY8NdnYzW3o4/w414-h640/sure+tena.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhcJ8xRfjF4RAHo0SmRLI-eXNnRNVuWEipgU7wJV0iyC_rg6DTiidy0f57Jr6YYMkDd6NvbusV7AUWiqNv1-OVn68EBsDCrpCC0C4dbLu9EjDz_lu4cn4WqtY17Wvr_GeKtnY8NdnYzW3o4/s72-w414-c-h640/sure+tena.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/mitambo-hii-ya-kazi-ndani-ya-azam-fc.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/mitambo-hii-ya-kazi-ndani-ya-azam-fc.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy