SIMBA: MTIBWA SUGAR HUWA WANATUPA CHANGAMOTO, MCHEZO UTAKUWA MGUMU
HomeMichezo

SIMBA: MTIBWA SUGAR HUWA WANATUPA CHANGAMOTO, MCHEZO UTAKUWA MGUMU

SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba ameweka wazi kuwa mchezo wao wa leo dhidi ya Mtibwa Sugar ni mgumu kwa sababu wapinzani hao wameku...

LIONEL MESSI KUIBUKIA MANCHESTER CITY
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
YANGA YATUA KWA MGHANA, MJADALA MO KUTISHIA KUSEPA SIMBA, NDANI YA CHAMPIONI IJUMAA

SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba ameweka wazi kuwa mchezo wao wa leo dhidi ya Mtibwa Sugar ni mgumu kwa sababu wapinzani hao wamekuwa wakiwapa changamoto muda wote.

Uwanja wa Mkapa leo Aprili 14, Simba ambao ni mabingwa watetezi wana kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Mtibwa Sugar inayopambana kujinasua kwenye nafasi ya kushuka daraja.

Katika msimamo wa Ligi Kuu Bara, Mtibwa Sugar ipo nafasi ya 15 imekusanya pointi 24 inakaribishwa na Simba iliyo nafasi ya tatu na ina pointi 46 baada ya kucheza mechi 20.

Akizungumza na Saleh Jembe, Matola amesema kuwa hautakuwa mchezo mwepesi kwao ila watapambana kufanya vizuri.

"Mechi ngumu na Mtibwa Sugar hilo lipo wazi lakini mara nyingi Mtibwa wamekuwa wakitupa changamoto pale ambapo tunakutana.

"Tunahitaji pointi tatu muhimu hilo ndilo ambalo tumelifanyia kazi na wachezaji wanatambua jambo ambalo tunahitaji," .

Mchezo wao wa mzunguko wa kwanza walipokutana Uwanja wa Jamhuri, Morogoro timu hizo ziligawana pointi mojamoja baada ya sare ya kufungana bao 1-1.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA: MTIBWA SUGAR HUWA WANATUPA CHANGAMOTO, MCHEZO UTAKUWA MGUMU
SIMBA: MTIBWA SUGAR HUWA WANATUPA CHANGAMOTO, MCHEZO UTAKUWA MGUMU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjtJ8BTBkSpwIqYgrSuvV8sAXUajMcl9Xmy2gh9I_6WIcZ8gZKoXWckyGdH2mCE-e-w6nZTBwY45D3Vrqjj1JqF8EUvI6XCIPNW3Z5QO8c_LtGy4x-yWeRpMBSDBJV-oe8Y1qIaCa35MiXo/w640-h426/Gomes+na+Tola.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjtJ8BTBkSpwIqYgrSuvV8sAXUajMcl9Xmy2gh9I_6WIcZ8gZKoXWckyGdH2mCE-e-w6nZTBwY45D3Vrqjj1JqF8EUvI6XCIPNW3Z5QO8c_LtGy4x-yWeRpMBSDBJV-oe8Y1qIaCa35MiXo/s72-w640-c-h426/Gomes+na+Tola.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/simba-mtibwa-sugar-huwa-wanatupa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/simba-mtibwa-sugar-huwa-wanatupa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy