PANGA LINAPITA NDANI YA AZAM FC
HomeMichezo

PANGA LINAPITA NDANI YA AZAM FC

  U ONGOZI wa Klabu ya  Azam upo kwenye  mipango ya kupitisha  panga kubwa ndani ya  kikosi cha timu hiyo kwa  ajili ya kufanya maboresho ...

HANS POPPE KUZIKWA LEO IRINGA,PUMZIKA KWA AMANI
WATATU WAKALI PSG KUKIWASHA LEO
SIMBA KUTWA MARA MBILI, WACHEZA MECHI ZA KIRAFIKI

 UONGOZI wa Klabu ya Azam upo kwenye mipango ya kupitisha panga kubwa ndani ya kikosi cha timu hiyo kwa ajili ya kufanya maboresho ya kushusha nyota wapya na kuachana na baadhi ya waliopo ambao hawakutoa mchango uliostahili.

 

Azam imepata nafasi ya kushiriki michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu ujao baada ya kushika nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara.

 

Katika michuano hiyo msimu ujao, Azam itakuwa sambamba na Biashara United iliyo nafasi ya nne kwenye msimamo, huku mabingwa Simba na Yanga wakipata nafasi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Afrika.

 

Akizungumza na Spoti Xtra, Kocha Msaidizi wa Azam, Vivier Bahati, alisema: â€œKwanza tunajivunia sana nafasi ya kucheza Kombe la Shirikisho Afrika msimu ujao. Haya ni mafanikio ya malengo yetu kwa msimu huu.

 

“Kuelekea michuano hiyo, tumejipanga kuhakikisha tunafanya vizuri na ni lazima tuandae kikosi kitakachokuwa imara kwa ajili ya kuweka heshima, hivyo tunatarajia kufanya usajili wa maboresho katika maeneo ambayo tunadhani yana mapungufu.

 

"Katika mpango huo, tutaachana na baadhi ya wachezaji ambao tunadhani hawakuwa na mchango ambao tulikuwa tunafikiria," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: PANGA LINAPITA NDANI YA AZAM FC
PANGA LINAPITA NDANI YA AZAM FC
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgiOY0j8aW_YEEuv6jyn5MSTjcKOwR3jxz1mhYTglgoqT106n-58luddLN3-0faCVjaHbJE8SlF8uKrGTWzWYEjNpLOe5e3XqFPS-yYg6yF_Sx5AQ02Fs8BNy524MzB2_u_S5AgAne5u1WF/w640-h628/Prince+Tena.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgiOY0j8aW_YEEuv6jyn5MSTjcKOwR3jxz1mhYTglgoqT106n-58luddLN3-0faCVjaHbJE8SlF8uKrGTWzWYEjNpLOe5e3XqFPS-yYg6yF_Sx5AQ02Fs8BNy524MzB2_u_S5AgAne5u1WF/s72-w640-c-h628/Prince+Tena.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/panga-linapita-ndani-ya-azam-fc.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/panga-linapita-ndani-ya-azam-fc.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy