SIMBA WAFICHUA MBINU YA KUWAMALIZA WAARABU KWA MKAPA
HomeMichezo

SIMBA WAFICHUA MBINU YA KUWAMALIZA WAARABU KWA MKAPA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa una mbinu mpya na kali ambayo wanaamini kwamba itawarahisishia kupata ushindi kwenye mchezo wao wa kima...

BREAKING: SIMBA QUEENS YAMALIZANA NA MSHAMBULIAJI WA MABAO
VIDEO: KARIA APETA TFF,YANGA WAJA NA MIKAKATI MIZITO
SIMBA NA YANGA MSIBEBE MATOKEO UWANJANI

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa una mbinu mpya na kali ambayo wanaamini kwamba itawarahisishia kupata ushindi kwenye mchezo wao wa kimataifa, kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi dhidi ya Al Ahly ya Misri.


Mchezo huo ambao mashabiki 30,000 wataruhusiwa kushuhudia Uwanja wa Mkapa ikiwa ni kwa ajili ya kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi ya Corona unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa ndani ya uwanja.

 Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez, amesema tayari wana mbinu kali ambayo itawasaidia kupata ushindi kwenye mechi hiyo dhidi ya Al Ahly.

 

Barbara ameongeza kuwa mbinu ambayo itawapa ushindi katika pambano hilo la Ligi ya Mabingwa Afrika ni kuwafanyia uchambuzi wa kina wapinzani wao kwa kufahamu maeneo dhaifu ambayo yatawapa picha ya namna ya kukabiliana nao. Kazi hiyo inaongozwa na mtaalamu wao, Mzimbabwe, Culvin Mavhunga.

 

“Kuhusiana na mechi yetu na Al Alhy, kitu kikubwa ambacho tunafanya ni uchambuzi wa wapinzani wetu ambao unatuonesha udhaifu wao.

 

“Uchambuzi huo ni wa kina na ndiyo maana tumewekeza sana katika kipengele hicho kwani inatupa picha ya kuwafahamu wapinzani wetu na sisi juu ya kikosi chatu kilivyo na sehemu gani ambazo tunaweza kuwafunga,” alimaliza Barbara.


Itakuwa ni Februari 23, Simba itakapowakaribisha Waarabu wa Misri, Uwanja wa Mkapa timu zote zina pointi tatu kwa kuwa mechi zao za ufunguzi zilishinda, Simba ilishinda bao 1-0 dhidi ya AS Vita na Al Ahly ilishinda mabao 3-0 dhidi ya Al Merrikh.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA WAFICHUA MBINU YA KUWAMALIZA WAARABU KWA MKAPA
SIMBA WAFICHUA MBINU YA KUWAMALIZA WAARABU KWA MKAPA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgkQAoNMCpWJlumMksYjQTrhNY9ZBkFrphIjZDWsnxvE3tc88yHsITHDHLrauX0tSJ00fHHmnN9aIuZMjhPKn2EamLa1BZk0WYG3Q1ff1y-_6NETnJgYM4CM6EYs3JT3MaFLPuvOsjnY-H-/w640-h460/Mugalu+kimataifa.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgkQAoNMCpWJlumMksYjQTrhNY9ZBkFrphIjZDWsnxvE3tc88yHsITHDHLrauX0tSJ00fHHmnN9aIuZMjhPKn2EamLa1BZk0WYG3Q1ff1y-_6NETnJgYM4CM6EYs3JT3MaFLPuvOsjnY-H-/s72-w640-c-h460/Mugalu+kimataifa.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/simba-wafichua-mbinu-ya-kuwamaliza.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/simba-wafichua-mbinu-ya-kuwamaliza.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy