FAINALI YA EURO KUPIGWA WEMBLEY
HomeMichezo

FAINALI YA EURO KUPIGWA WEMBLEY

 WABABE Italia na England wanatarajiwa kukutana Uwanja wa Wembley mbele ya mashabiki 60,000 ambao wameruhusiwa kushuhudia live fainali ya Eu...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE
HUKUMU YA JONAS MKUDE YAAHIRISHWA
VIDEO: WATU 500 KUMPA TUZO YA BET

 WABABE Italia na England wanatarajiwa kukutana Uwanja wa Wembley mbele ya mashabiki 60,000 ambao wameruhusiwa kushuhudia live fainali ya Euro 2020.



Inakuwa ni fainali ya 16 katika michuano ya Euro ambapo ilipaswa kufanyika mwaka jana ila ilighairishwa kutokana na janga la Corona na ilianza kutimua vumbi Juni 11,mwaka huu.


Italia ilikuwa miongoni mwa timu 24 ambazo zilishiriki michuano hii ambazo zilicheza kupitia viwanja vya nchi 11 na ilitinga hatua ya fainali baada ya kuwaondoa Hispania kwa mikwaju ya penalti 4-2 baada ya muda wa kawaida kutoshana nguvu ya kufungana bao 1-1.


England ilitinga hatua hiyo baada ya kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Denmark na imefungwa bao moja tu katika hatua ya nusu fainali  ikiwa ni mara ya kwanza kutinga hatua ya fainali.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: FAINALI YA EURO KUPIGWA WEMBLEY
FAINALI YA EURO KUPIGWA WEMBLEY
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEggrHgSQRT4xo8hRVFvKlBToB6rJex-yVY5XbHYa4elC5CGgBDrMXUOh3xNfLLBUbb1guabAuKoapNxo7LyXg7Nn-dZiLAgrYjZwS7CR9QV8nFMCpweqexygR2frOzNgswLtRsfYeFC9h9G/w638-h640/Screenshot_20210710-084031_Instagram.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEggrHgSQRT4xo8hRVFvKlBToB6rJex-yVY5XbHYa4elC5CGgBDrMXUOh3xNfLLBUbb1guabAuKoapNxo7LyXg7Nn-dZiLAgrYjZwS7CR9QV8nFMCpweqexygR2frOzNgswLtRsfYeFC9h9G/s72-w638-c-h640/Screenshot_20210710-084031_Instagram.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/fainali-ya-euro-kupigwa-wembley.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/fainali-ya-euro-kupigwa-wembley.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy